PoleUnaonaje ukitafsiri kwa faida ya wote wanaojua lugha ya kiingereza na kiswahilo ndugu
Fantastic facts..Habari zenu humu ndani,
Aisehh kama kichwa cha habari husika hapo juu,leo ngoja niwashirikishe hili,inasemekana kuna close relationship kati ya tabia ya mtu na urefu wa vidole vyako, hebu tazama images hapo chiniView attachment 331846View attachment 331847View attachment 331848View attachment 331849
Sijaelewa hata toneHahahahaha ni shidaah, ila umeelewa banah lugha ya ngeli kwako sikitu, valentina mtoto wa kishua hivyo mambo ya international schools shule za wadosi ndo ulipo soma wewe.
Baada ya kuona huh Uzi nikagundua kuna watu hupenda kuangalia vidole vya watu wengine nilikua sijafahamu kumbe ndo kusoma tabiaUnaweza kumuelewa your partner's attitudes kwa kuangalia hizo category za urefu wa vidole,somehow it tells afact.
Wako correct kabisa yani mi nilisikia had kuangalia vidole I ignored it but kilichoandikwa ni correctHahaha diva ni kweli, mimi ilichikua muda sana kujiuliza huu ukweli walitumia tafiti gani ama sample frame yao ili kuleta majibu ya General,yani ni ukweli mtupu