COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,598
- 3,644
Confidentiality: Daktari au mtumishi yoyote anayehusika kumtibu mgonjwa anatakiwa kutunza siri ya ugonjwa aliyonayo mgonjwa huyo. Daktari haruhusiwi kutoa taarifa za huyo mgonjwa bila idhini ya mgonjwa husika.
Lakini pia mgonjwa anaweza yeye mwenyewe kutoa taarifa ya nini anaumwa kwa mtu wake wa karibu akipenda au kwa watu wote bila kushurutishwa na kitu chochote.
Ni kosa la kimaadili kwa daktari au mtumishi wa Afya kutoa siri za wagonjwa.
Kwa faida zaidi someni : MEDICAL ETHICS / BIOETHICS