Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,268
- 31,389
Hukuwa na sababu kutukana au kunipa magonjwa ambayo sina... jikite tu kwenye hoja mkuu...Aisee wewe nipooza kweli ebu taduta sicksheet uisome vzr uone inasisitiza nani aijaze.
Hospitalini kuna file rasmi la matibabu linalokuwa na historia ya matibabu ya mgonjwa na sicksheet hujazwa baada ya matibabu hasa kuelezea hali ya mgonjwa baada ya matibabu na kuonesha kuwa amehudhuria matibabu na je anaweza kuendelea na kazi au apumzike kwanza kwa muda gani au arudi tena hospitalini baada ya muda gani