Fahamu tofauti ya Maswali ya Waandishi wa Habari wa Tanzania ( VPL ) na wale wa nchini Uingereza ( EPL )

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,418
108,517
Ifuatayo ni tofauti ya aina ya Maswali ya Waandishi wa Habari za Michezo ya Ligi ya nchini Tanzania ( VPL ) na wale Wenzao wa Ligi Kuu ya nchini Uingereza ( EPL )

Maswali ya Waandishi wa Habari za Michezo wa Uingereza ( EPL ) ni kama...

1. Timu yako leo imecheza mfumo gani?
2. Kwanini ushindi wako mwingi unategemea Mabeki na siyo Fowadi?
3. Unadhani kwa Kikosi hiki una uwezo wa kuwa Bingwa msimu huu?
4. Katika Ligi hii utategemea kutumia mfumo huu huu mmoja au utanchanganya?
5. Je Kikosi chako kinaweza Kuhimili Ligi hii na Michuano mingine ijayo?
6. Kwanini Mazoezini huwa unapenda sana kufanya Majaribio ya Upigaji Penati?
7. Kwanini huwa unapenda Kuanzisha Washambuliaji Pacha mara kwa mara?

Maswali ya Waandishi wa Habari za Michezo wa Tanzania ( VPL ) ni kama....

1. Umekuja Tanzania na Mke au peke yako?
2. Kwanini unapenda sana Kuvaa Suti na siyo Jezi?
3. Baada ya mechi hii utakuwa Baa gani?
4. Umeshaanza na Kuzoea Kula Ugali na Matembele?

5. Huwa unapenda Kulala na Kuamka Saa ngapi kila Siku?
6. Familia yako huwa haikumisi sana ukiwa nayo mbali hivi?
7. Unakula sana Nguruwe au Kuku?

Nawasilisha.
 
Utofauti ni kwamba waandishi wa EPL wanakuwa wabobezi kwenye maswala ya soka hawa wetu unakuta hawana wanachokijua chochote juu ya maswala ya mpira
 
Ifuatayo ni tofauti ya aina ya Maswali ya Waandishi wa Habari za Michezo ya Ligi ya nchini Tanzania ( VPL ) na wale Wenzao wa Ligi Kuu ya nchini Uingereza ( EPL )

Maswali ya Waandishi wa Habari za Michezo wa Uingereza ( EPL ) ni kama...

1. Timu yako leo imecheza mfumo gani?
2. Kwanini ushindi wako mwingi unategemea Mabeki na siyo Fowadi?
3. Unadhani kwa Kikosi hiki una uwezo wa kuwa Bingwa msimu huu?
4. Katika Ligi hii utategemea kutumia mfumo huu huu mmoja au utanchanganya?
5. Je Kikosi chako kinaweza Kuhimili Ligi hii na Michuano mingine ijayo?
6. Kwanini Mazoezini huwa unapenda sana kufanya Majaribio ya Upigaji Penati?
7. Kwanini huwa unapenda Kuanzisha Washambuliaji Pacha mara kwa mara?

Maswali ya Waandishi wa Habari za Michezo wa Tanzania ( VPL ) ni kama....

1. Umekuja Tanzania na Mke au peke yako?
2. Kwanini unapenda sana Kuvaa Suti na siyo Jezi?
3. Baada ya mechi hii utakuwa Baa gani?
4. Umeshaanza na Kuzoea Kula Ugali na Matembele?

5. Huwa unapenda Kulala na Kuamka Saa ngapi kila Siku?
6. Familia yako huwa haikumisi sana ukiwa nayo mbali hivi?
7. Unakula sana Nguruwe au Kuku?

Nawasilisha.
Wewe bado una kiwewe cha Mbao.
 
Naweka na majibu ya makocha / wachezaji

1. Kwenye Mpira kuna matokeo matatu....
2....
 
Back
Top Bottom