Fahamu tabia za watu kulingana na magari wanayomiliki

Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
3,510
9,341
Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa.

Soma hapa: je, wewe tabia yako ni ipi?

1. IST, Raumu, Ractis, Passo, Nissan Tiida, Note, Mazda Demio, Honda Fit, Vitz new model: Wamiliki ya magari haya huwa waangaliku kwa kiasi kikubwa kwani wengi wao huwa ni waajiriwa wapya wapya makazini na mishahara ya kwanza kwanza ndiyo imetumika kujipatia usafiri huu. Watu hawa hufocus zaidi katika mipango yao ya baadaye na hawana papara ila kama ni dada anamiliki gari hizi basi jua kahongwa na mume wa mtu. Watu wa kundi hili pia wana mademu zaidi ya mmoja.

2. Passo, Vitz old model, Starlet, March, Swift: Mara nyingi wamiliki wa gari hizi huwa ni wapiga dili tu kitaani. Kuoga kwao huwa ni swala la nadra sana. Muda mwingi wanakuwa wakipiga misele ya hapa na pale kujipatia chochote kitu. Kundi hili lina bahati ya kumiliki mademu wazuri kinoma japo hawadumu nao, maana wana longo longo kibao huwa wanakuja kunyanganywa na wamiliki wa Prado, Fortuner madem zako.

3. Carina, Corolla, Carina TI: Wamiliki wa magari haya huwa ni bahili sana. Kuzimikiwa na gari porini kisa mafuta kwao ni suala la kawaida sana na unakuta wana hela mfukoni. Vilevile wamiliki wa gari hizi wana mambo ya kizamani au kizee zee. Usiombe kusafiri na hawa watu, njiani hawanywi hata maji na mara nyingi wanafahamu sana siri nyingi za wake za watu kwa kuwa mara kwa mara wanatumiwa kama taxi wazee wa mishe mjini.

4. Rav 4, Suzuki Vitara na Escudo: Wamiliki wengi wa hizi brands ni Wachagga. December kukuta model hizi zimeongozana kulekea Moshi ni suala la kawaida sana. Hata usishangae.

5. Noah, Voxy, Nissan Serena: Wamiliki wa gari hizi hawaishi maisha ya uhalisia wao. Wanajiadai wamenunua family vehicle kumbe wanapiga nazo safari za kukodishwa kisirisiri bila watu wengi kujua. Wakipata hela wanabeba familia zao kuzitoa out.

6. X trail, Dualis, Vanguard, Kluger, BMW X3: Wamiliki wa haya magari wanaumri mdogo, wa kati na umri mkubwa na wapo smart sana katika kufanya mambo yao; wawapo kazini, nyumbani au barabarani umakini kwao ni kipaumbele. Ni wasafi na hawana hela za mawazo. Wakiongea wanakuwa na uwezo mkubwa sana wa ushawishi. Dada kama unatafuta mchumba kundi hili linafaa zaidi. Unikumbuke na mimi nina mnyama hatari sana ukipanda lazima uache namba ya simu.

7. Nissan Elgrand, Toyota Alphard: Wamiliki wa magari haya huwa na ustaarabu wa namna fulani. Wengi pochi yao huwa nene na wanachepuka sana ila wanachepuka kwa akili. Watu hawa pia hupenda starehe kama gari zao zilivyo; hawana cha kuwapita katika macho yao.

8. Mark X, Brevis, Crown, Nissan Fuga, Nissan Skyline, BMW series, Mercedes Benz: Hapa wamiliki huwa ni vijana machachari wanaopenda vitu vizuri lakini mara nyingi hawafikirii maisha ya baadaye. Wachache wao sana hujiwekeza kwa ajili ya maisha ya baadaye. Watu wa kundi hili hutumia muda mwingi barabarani kufanya ligi ambazo mwisho wa siku hakuna anayewapa tuzo, zaidi wanapoteza sana mafuta na muda mwingi barabarani.

9. Prado: Mara nyingi hapa utakutana na wazee ambao ni wastaarabu machoni ila moyoni mwao bado wana uchu sana na mabinti hasa wale wa kidato cha tano na sita. Na kama akiwa mmiliki ni mwanamke basi mara nyingi huwa na kaserengeti boy ka kula nako raha.

10. Nissan Navara, VW Amarock: Wamiliki wa haya magari usijenge nao urafiki, hawakawii kukudhalilisha mbele za watu. Ni watu wa kupenda kujiinua kila wapitapo na magari yao. Kwa ujumla hawana ustaarabu wanatawaliwa na masifa.

11. Landceuiser II, Hard Top: Wamiliki wa haya magari hawana tofauti sana na hapo juu namba 10. Isipokuwa hawa huwa na sifa zaidi na mkibishana kitu kidogo yeye kuchomoa bastola ni swala la kawaida sana. Mara nyingi wanaume wenye magari haya husalitiwa sana na wapenzi wao.

12. Subaru especially Forester na WRX, na Mazda RX 8: Wamiliki wa magari haya wengi wapo Arusha. Wengi wao ni walevi wa miraa, Konyagi, K Vant bila kusahau bangi ya Kisimiri japo si kwa wote. Wengi wapole na wastarabu sana. Wengi wamiliki wa magari haya ni malaya sana na hawawazi maisha yao ya kesho. Wao hujiona ndiyo wajanja wa mji kumbe hamna kitu. Kama wewe ni binti jiadhari sana kupata mume kutoka kwwnye kundi hili. Hawa kosa lao kubwa ukiwapita barabarani yaani hapoutakuwa unataka rally ya nguvu kufukuzana kwa sana. Wabishi hawakubali kabisa kupita kirahisi barabarani.

13. Land Cruiser VX, Nissan Patrol au Safari: Wamiliki wa magari haya wengi wao ni wastaafu wa taasisi fulani fulani zinazolipa vizuri. Huwa wana hekima na busara nyingi ukikaa nao hakika utapata chochote kitu cha kujifunza kuhusu maisha. Ni wakorofi kiasi endapo watakasirishwa.

14. Mazda Except Demio: Wamailiki wa Mazda huwa ni wabishi na hawashauriki. Wakishanunua mazda zao zikawatesa spea ndiyo hujuta na kukumbuka ushauri wa awali, yaani wao hutaka kutimiza ndoto zao hawapendi kabisa kushauriwa na mafundi nyundu.

15. Harrier: Wanaume wengi wanaomiliki magari haya hawana furaha. Wanajua wazi kuwa gari wanazoendesha ni gari pendwa za kina mama ila hawana namna wanaendesha tu kwa sababu wameshinikizwa na wake zao kununua aina hii ya gari. Pia wamiliki wa gari hizi hawana sauti kwa wake zao, wapo radhi watumie bodaboda.

16. Nissan Murano. Wamiliki wa magari haya wengi huwa na furaha sana wanajiamini kwa kila jambo wanalolifanya ijapokuwa baadhi yao wanamiliki gari hii kutokana na shikizo la wenzi wao. Wapo radhi watumie bodaboda kuliko kuendesha magari ya kusimangiwa.

17. Altezza: Rejea namba 8 na 12 hawa huwa ni vijana machachali sana.

Hizo ni baadhi tu ya tabia zinazoendana na aina ya gari mtu anayomiliki.


PIA, SOMA: Tabia za madereva wa aina mbali mbali za magari
 
2.Subaru especially Forester.....wamiliki wa magari haya wengi wapo Arusha..wengi wao ni walevi wa miraa,Konyagi,K Vant bila kusahau bangi ya kisimiri japo si kwa wote.Wengi wa wamiliki wa magari haya ni malaya sana na hawawaza maisha yao ya kesho.Wao hujiona ndiyo wajanja wa mji kumbe hamna kitu. Kama wewe ni binti jiadhari sana kupata mume kutoka kwwnye kundi hili.

Niombe radhi sasa hivi au nilianzishe humu humu JF. Mimi nimelimiliki gari langu sasa ni miaka 4 lakini sijawahi kuonwa kwenye hizo tabia mbofu mbofu hata mojawapo. Usipende kusema kitu hujafanya hata kautafiti. No research no permission to speak.
Nimekuchukia kama vile umenimba lift asubuhi ya leo.
Inaonesha kuwa weye ni miongoni mwa wale waliozikosa wanatukana kuwa hizo ni mbichi sizitaki. Ungeanza kwa kutuambia kuwa weye unamiliki mangapi katika hayo magari ili tujue na wewe ni group gani.
 
Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa..Soma hapa

1. IST, Raumu,Ractis,Nissan Tiida,Note, Mazda Demio,Honda fit,v itz new model.
Wamiliki ya magari haya huwa waangalifku kwa kiasi kikubwa kwani wengi wao huwa ni waajiriwa wapya wapya makazini na mishahara ya kwanza kwanza ndiyo imetumika kujipatia usafiri huu. Watu hawa huforcus zaidi katika mipango yao ya baadae na hawana papara ila kama ni dada anamiliki gari hizi basi jua kahongwa na mume wa mtu. Watu wa kundi hili pia wana mademu zaidi ya mmoja.

2.Passo, Vitz old model, Starle, March,Swift
Mara nyingi wamiliki wa gari hizi huwa ni wapiga dili tu kitaani...Kuoga kwao huwa ni swala la nadra sana.Muda mwingi wanakuwa wakipiga misele ya hapa na pale kujipatia chochote kitu.K undi hili lina bahati ya kumiliki mademu wazuri kinoma.

3.Carina,corolla....Wamiliki wa magari haya huwa ni bahili sana...kuzimikiwa na gari porini kisa mafuta kwao ni suala la kawaida sana na unakuta wana hela mfukoni..vile vile wamiliki wa gari hizi wana mambo ya kizamani au kizee zee.U siombe kusafiri na hawa watu...njiani hawanywi hata maji na mara nyingi wanafahamu sana siri nyingi za wake za watu kwa kuwa mara kwa mara wanatumiwa kama txi

4.Rav 4,Suzuki Vitara na Escudo.....wamiliki wengi wa hizi brands ni wachaga...December kukuta modwl hizi zimeongozana kulekea Moshi ni suala la kawaida sana.

5.Noah, Voxy,Nissan Serena....Wamiliki wa gari hizi hawaishi maisha ya uhalisia wao..Wanajiadai wamenunua family vehicle kumbe wanapiga nazo safari za kukodishwa kisirisiri.

6. X trail, Dualis, Vanguard,Cluger,BMW X3..Wamiliki wa haya magari wanaumri mdogo, wa kati na umri mkubwa na wapo smart sana katika kufanya mambo yao...Wawapo kazini,nyumbani au barabarani umakini kwao ni kipaumbele.Ni wasafi na hawana hela za mawazo.Wakiongea wanakuwa na uwezo mkubwa sana wa ushawishi. Dada kama unatafuta mchumba kundi hili linafaa zaidi

7.Nissan Elgrand, Toyota Alphard
Wamiliki wa magari haya huwa na ustaarabu wa namna fulani...wengi pochi yao huwa nene na wanachepuka sana ila wanachepuka kwa akili. Watu hawa pia hupenda starwhe kama gari zao zilivyo.

8.Mark X,Brevis, Crown,Nissan Fuga,Nissan Skyline,Bmw series,Mercedes Benz...Hapa wamiliki huwa ni vijana machachari wanaopenda vitu vizuri lakini mara nyingi hawafikirii maisha ya baadae.Wachache wao sana hujiwekeza kwa ajili ya maisha ya baadae..watu wa kundi hili hutumia muda mwingi barabarani kufanya ligi ambazo mwisho wa siku hakuna anayewapa tuzo.

9.Prado....Maranyingi hapa utakutana na wazee ambao ni wastaarabu machoni ila moyoni mwao bado wana uchu sana na mabinti hasa wale wa kidato cha tano na sita. Na kama akiwa mmiliki ni mwanamke basi mara nyingi huwa na kaserengeti boy ka kula nako raha.

10.Nissan Navara, VW Amarock.....wamiliki wa haya magari usijenge nao urafiki...hawakawii kukudhalilisha mbele za watu.Ni watu wa kupenda kujiinua kila wapitapo na magari yao.Kwa ujumla hawana ustaarabu wanatawaliwa na masifa.

11.Landceuiser II, Hard top....wamiliki wa haya magari hawana tofauti sana na hapo juu namba 10.Isipokuwa hawa huwa na sifa zaidi na mkibishana kitu kidogo yeye kuchomoa bastola ni swala la kawaida sana.Mara nyingi wanaume wenye magari haya husalitiwa sana na wapenzi wao.

12.Subaru especially Forester.....wamiliki wa magari haya wengi wapo Arusha..wengi wao ni walevi wa miraa,Konyagi,K Vant bila kusahau bangi ya kisimiri japo si kwa wote.Wengi wa wamiliki wa magari haya ni malaya sana na hawawaza maisha yao ya kesho.Wao hujiona ndiyo wajanja wa mji kumbe hamna kitu. Kama wewe ni binti jiadhari sana kupata mume kutoka kwwnye kundi hili.

13.Land cruiser VX, Nissan Ptrol au Safari.....wamiliki wa magari haya wengi wao ni wastaafu wa taasisi fulani fulani zinazolipa vizuri. Huwa wana hekima na busara nyingi ukikaa nao hakika utapata chochote kitu cha kujifunza kuhusu maisha.Ni wakorofi kiasi endapo watakasirishwa.

14.Mazda except demio....wamailiki wa mazda huwa ni wwbishi na hawashauriki...wakishanunua mazda zao zikawatesa spea ndiyo hujuta na kukumbuka ushauri wa awali.

15.Harrier.....wanaume wengi wanaomiliki magari haya hawana furaha.Wanajua wazi kuwa gari wanazoendesha ni gari pendwa za kina mama ila hawana namna wanaendesha tu kwa sababu wameshinikizwa na wake zao kununua aina hii ya gari.Pia wamiliki wa gari hizi hawana sauti kwa wake zao

16.Nissan Murano. Wamiliki wa magari haya wengi huwa na furaha sana wanajiamini kwa kilw jambo wanalolifanya ijapokuwa baadhi yao wanamiliki gari hii kutokana na shikizo la wenzi wao.

17.Altezza....rejea namba 8 na 12

Hizo ni baadhi tu ya tabia zinazoendana na aina ya gari mtu anayomiliki.



Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi mnyama audi?
images%20(2).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niombe radhi sasa hivi au nilianzishe humu humu JF. Mimi nimelimiliki gari langu sasa ni miaka 4 lakini sijawahi kuonwa kwenye hizo tabia mbofu mbofu hata mojawapo. Usipende kusema kitu hujafanya hata kautafiti. No research no permission to speak.
Nimekuchukia kama vile umenimba lift asubuhi ya leo.
Inaonesha kuwa weye ni miongoni mwa wale waliozikosa wanatukana kuwa hizo ni mbichi sizitaki. Ungeanza kwa kutuambia kuwa weye unamiliki mangapi katika hayo magari ili tujue na wewe ni group gani.
Dingii huna haja ya kupanic wala hutoombwa radhi....rudia tena kusoma namba mbili...nimesema wengi wao...ina maana kuna wachache hawana hizo tabia....na kama unamiliki suharu na huna hizo tabia basi umesalimika na mshukuru Mungu...coz hawa huwa wana chama lao la kufundishana uhuni sana na mazuri kwa uchache....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom