Fahamu tabia ya kipekee ya ndege anaitwa(africa jacana)

onebigrocktz

Member
Jan 11, 2017
43
32
Africa jacana ni ndege ambaye anapatikana kwenye mazingira ya majimaji kama kwenye maziwa ni rahisi sana kumpata or kumuona ukiwa lake manyara national park.

Tabia ambayo watalii au wageni wanavutiwa nayo ni ile ambayo jacana akipata dume na akifanikiwa kutaga mayai tu anamkimbia uyo dume na mayai anaenda tafuta dume mwengine na kuanza maisha upya kwaiyo ndege dume ndio ulalia mayai na kukuza/kulea kinda/watoto.

Ivyo watu uwa wanapenda kumwita ndege malaya..

Nawasilisha kwenu wadau
 
Kwa anaeyependa kujua zaida tabia za wanyama wengi wa africa atembelee tovuti yangu ya

www.onebigrocktz.co.tz
Nyambafu kabisa kama huwezi kupakuwa story yote bora ukae kimya sio kuja kuleta mihemuko ya macho huku kitu unaleta robo tu
 
2463665ef10b943ee80f3cddd97ff505.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom