Fahamu taaluma ambazo bila bachelor degree huwezi kupata degree yake ya kwanza Marekani

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Ni kitu cha kushangaza lakini pia ni cha kujifunza kwa wenzetu wa marekani ambapo kuna baadhi ya taaluma zinahitaji mtu awe na degree ya kwanza ya kitu kingine ndio apate nafasi ya kupata degree ya kwanza ya taaluma hizo..yaani entry qualification is a bachelor degree.

Miongoni mwa taaluma hizo ni

(1)Sheria
(2)Udaktari na
(3)Uandishi wa habari.

Umeshajiuliza ni kwanini imekuwa hivyo hata kwa waandishi wa habari??Nikiwa na maana waandishi mnaowaona wanareport vituo vikubwa USA wana degree 2.

Hii inaondoa makosa na kuongeza ufanisi katika kazi mfano mtu aliyesoma degree ya uchumi kisha akaenda kusomea uandishi wa habari huyu atakuwa na uwezo mkubwa wa kuandika kuhusu mijadala ya kiuchumi,kuchambua uchumi,kuhoji wachumi na kutoa fafanuzi mbalimbali tofauti na ambaye hajui uchumi kabisa atabaki kusikiliza kama kasuku na misamiati ya kiuchumi itakuwa kama sindano masikioni kwake mfano ukiangalia waandishi wa habari juzi waliokwenda kumuhoji CAG wameshindwa kutumia fursa ya kuuliza kuhusu hali ya ukaguzi nchini wameishia kuuliza utaenda wapi baada ya hapa,swali ambalo hata mimi naweza kuuliza.
Hii inaenda sambamba kwa taaluma zote zikiambatanishwa na taaluma ya habari,hawa watu wanakuwa na uwezo mkubwa wakuhoji na kuchambua mambo.

Kwa upande wa sheria,ni vigumu kwa mwanasheria aliyesoma sheria tu kumuhoji mkandarasi aliyetengeneza barabara mbovu tofauti na mwandishi aliyesoma uhandisi atakovyohoji na kuthibitisha.
Ukisoma sheria bila taaluma nyingine utaishia kwenye kesi za wizi wa kuku..kesi nyingine zote zitakushinda utasikiliza ya kuambiwa tofauti na hukumu angetoa mwanasheria mwenye taaluma ya kitu kilicho mbele ya mahakama.

Kwa madaktari ni tofauti kidogo hawa hulazimika kusoma degree ya kwanza ya kitu kingine ili kuwaongezea ufanisi na kupunguza makosa ,wakiamini mtu akitoka huko atakuwa amestaarabika na kuwa sawa na kzi hiyo muhimu.
 
Hata obama nilishangaa kwa nini alisoma sheria baada ya kusoma political science

Huu mfumo ni mzuri Sana.. ungekuja na huku kwetu ingepunguza Sana makandokando hapa kwetu
 
aseee huu mfumo ukija hku kwetu cjui itakuaje
 
Tundu Lissu nasikia alisomea sheria Marekani vipi kwa upande wake nae..ana degree ya nini iliyompelekea kusomea sheria!!
 
SIsi huku bongo inatikiwa mtu ajue kusoma na kuandika
Hata mwakilishi wa wananchi mbunge ambae aweza kuwa waziri nae akijua kusoma na kuandika sawa
 
Ni kitu cha kushangaza lakini pia ni cha kujifunza kwa wenzetu wa marekani ambapo kuna baadhi ya taaluma zinahitaji mtu awe na degree ya kwanza ya kitu kingine ndio apate nafasi ya kupata degree ya kwanza ya taaluma hizo..yaani entry qualification is a bachelor degree.

Miongoni mwa taaluma hizo ni

(1)Sheria
(2)Udaktari na
(3)Uandishi wa habari.

Umeshajiuliza ni kwanini imekuwa hivyo hata kwa waandishi wa habari??Nikiwa na maana waandishi mnaowaona wanareport vituo vikubwa USA wana degree 2.

Hii inaondoa makosa na kuongeza ufanisi katika kazi mfano mtu aliyesoma degree ya uchumi kisha akaenda kusomea uandishi wa habari huyu atakuwa na uwezo mkubwa wa kuandika kuhusu mijadala ya kiuchumi,kuchambua uchumi,kuhoji wachumi na kutoa fafanuzi mbalimbali tofauti na ambaye hajui uchumi kabisa atabaki kusikiliza kama kasuku na misamiati ya kiuchumi itakuwa kama sindano masikioni kwake mfano ukiangalia waandishi wa habari juzi waliokwenda kumuhoji CAG wameshindwa kutumia fursa ya kuuliza kuhusu hali ya ukaguzi nchini wameishia kuuliza utaenda wapi baada ya hapa,swali ambalo hata mimi naweza kuuliza.
Hii inaenda sambamba kwa taaluma zote zikiambatanishwa na taaluma ya habari,hawa watu wanakuwa na uwezo mkubwa wakuhoji na kuchambua mambo.

Kwa upande wa sheria,ni vigumu kwa mwanasheria aliyesoma sheria tu kumuhoji mkandarasi aliyetengeneza barabara mbovu tofauti na mwandishi aliyesoma uhandisi atakovyohoji na kuthibitisha.
Ukisoma sheria bila taaluma nyingine utaishia kwenye kesi za wizi wa kuku..kesi nyingine zote zitakushinda utasikiliza ya kuambiwa tofauti na hukumu angetoa mwanasheria mwenye taaluma ya kitu kilicho mbele ya mahakama.

Kwa madaktari ni tofauti kidogo hawa hulazimika kusoma degree ya kwanza ya kitu kingine ili kuwaongezea ufanisi na kupunguza makosa ,wakiamini mtu akitoka huko atakuwa amestaarabika na kuwa sawa na kzi hiyo muhimu.
Hapa nakubaliana na hiki kitu mfano Tanzania kuna wanasheria waliosoma sheria kisha wakaenda kusoma Masters ya Marine Law nchini Marta.

Hawa walikuwa hawajui kitu chochote kuhusu meli na biashara zake. Lakini wakaenda kusoma hiyo masters ya Marine Law kule wanakutana na misamiati na vitu vipya vya meli.

Upande wa pili ni yule aliyekuwa wakili wa Wale wachina wa meli ya samaki yeye alisoma masuala ya meli mpaka kufikia unahodha kisha akasoma Degree ya sheria.

Ndio maana ikawa rahisi kwa aliyesoma degree ya meli na kisha sheria kuwashinda wale wanasheria wa muda mrefu waliosoma Marine Law.
 
Back
Top Bottom