Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafundi kanjanja wa kkoo, wanawaibia maboya sana, bora umempa za usopassword nimelink na oppo account
Oppo account nimelink na namba ya simu.
Namba ya simu nimesajili na NIDA.
150K yangu hupati
Ndo unavyojidanganya sio?,Mafundi kanjanja wa kkoo, wanawaibia maboya sana, bora umempa za uso
Ukishasahau password hata access ya Oppo account hupati mpaka utumie pc au device nyinginepassword nimelink na oppo account
Oppo account nimelink na namba ya simu.
Namba ya simu nimesajili na NIDA.
150K yangu hupati
Jins nimelink vitu vyangu suala la password kusahau au kusumbua ni ndoto ya mchana bro.Ukishasahau password hata access ya Oppo account hupati mpaka utumie pc au device nyingine
Kulink na namba ya simu unaweza ukalink ila kwa mitandao hii ya kibongo bongo utashangaa sms haziingii
Vipi kuhusu,UMIDIGI,OUKITEL,CUBOT na XIOMI?Hii kauli sitaacha
KgTel, Infinix, Tecno, Itel, ForMe , Leagoo, X-Tigi & Co ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Sijui tutumie lugha gani kuwaambia watu
Ukiondia XIAOMI hizo zilizobaki ni zile zile taka taka za kichina kama LEAGOOVipi kuhusu,UMIDIGI,OUKITEL,CUBOT na XIOMI?
kwahiyo sasa mimi mwenye infinix unanishauri nini?? Au nakosa nini cha zaidi kwenye hizo simu bora ?Ukiondia XIAOMI hizo zilizobaki ni zile zile taka taka za kichina kama LEAGOO
Nakushauri endelea kutumia mpaka pale ambapo utaona mwenye tofauti kati ya simu ya takataka za kichina.kwahiyo sasa mimi mwenye infinix unanishauri nini?? Au nakosa nini cha zaidi kwenye hizo simu bora ?
Wadanganye/waibie hao hao, sitapeleka simu kwa fundi kisa kusasahau password, wanaokuletea hawajielewiNdo unavyojidanganya sio?,
Hiyo kitu ikishalock kurecovery password ni kipengere kingine,
Kuna watu na elimu zao huwa wanashindwa kurecovery, sio kama wanashindwa kufuata maelezo, hapana ila utashangaa unaingiza namba ya simu uliyofungulia Oppo ID na bado inakugomea,
Mfano halisi leo kuna jamaa alikuja na iPhone 6s plus, ipo desabled baada ya kuingiza lockscreen passcode mara kadhaa na anasema alikua anaingiza kwa usahihi lakini akashangaa inakataa, nikairestore kwa iTunes kisha nikaanza kumsaidia kurecovery password ya iCloud, kwenye taratibu za kurecover wanaonyesha namba kabisa ambayo watatuma veryfication code lakini cha ajabu msg hazingii na laini ipo hewani, ikabidi nimwambie tutumie email ndo wakatuma kupitia email, lakini bado kwenye kurecovery ikawa inagoma kutokana na kujaribu mara nyingi ikawa suspended kwa masaa 24
Nyie mnaojifanya wajuaji ndo huwa mnaibiwaga simu kizembe sana kwa madai simu zenu mmeziwekea security, lakini zikipelekwa kwa mafundi simu huwa zinavurugwa kirahisi sana
Watu wanatoa iCloud za iPhone zenye MEID na simu inashika Network sembuse hizo OPPO?
SIKU JISAHAULISHE PASSCODE KWA MADAI UMEILINK NA OPPO ACCOUNT KISHA ANZA KUIRECOVER NDO UTAKAPOJUA HUJUI
Kipindi najihusisha na mobile phone repair basi hapa kwenye password ndio palikua na hela jamaa yangu.Wadanganye/waibie hao hao, sitapeleka simu kwa fundi kisa kusasahau password, wanaokuletea hawajielewi
Sana, haswa hii jinsia pinzaniKipindi najihusisha na mobile phone repair basi hapa kwenye password ndio palikua na hela jamaa yangu.
Tz kunae watu wana vichwa vizito aisee
Mkuu, huibiwi, pia hulazimishwi wala hakuna atakayekushawishi upeleke simu yako kwa fundi, fundi simu ni kama daktari wa binadamu, mmiliki ukiona unashindwa kutatua tatizo husika ndipo utakapojikuta unawaona wenye ujuziWadanganye/waibie hao hao, sitapeleka simu kwa fundi kisa kusasahau password, wanaokuletea hawajielewi
Bila shaka ulitaka kuandika XIAOMIVipi kuhusu,UMIDIGI,OUKITEL,CUBOT na XIOMI?
Cm enyewe laki na nusuHiyo chuma ukijichanganya usahau password tu ukija ofisini kwangu nakubamiza 150k