mjapanimweusi
Member
- Feb 11, 2019
- 26
- 11
Habari,
Tunaunda na kufunga system ambayo itaweza kutambua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwezi.
Kupitia system hii utaweza
*kujua route ambazo gari yako imefanya kwa siku au mwez
*kujua gari yako iko wapi kwa wakati husika
*kupiga picha ndani ya gari
*kurecord video au sauti ya ndani ya gari
*kupiga picha ndani ya gari
*kusaidia kutafuta gari yako ikíibiwa
Simu yako ya mkononi itaunganishwa na mfumo huu,ili uweze kupata taarifa zote kiganjani.
Pia taarifa hz zote zitatunza ktka database yetu kwa mahtaji ya baadae.
Pia tunadesign security mbalimbali za kielectronics kwa vyombo vya moto na majumbani.
Bei ya system ndogo inaanzia 500,000/ kwa gari (kila kitu tukinunua sisi)
Na bei ni 250,000/- kwa gari (kama mteja atakuja na gps device yake).
Na 250,000/- kwa boda boda(kama kila kitu tukinunua sisi)
Na 150,000/- kwa boda boda (kama gps device ni yake).
0629068815
KARIBUN TUPO MACHINGA COMPLEX
kwenye gari binafsi tunafunga,kama
privacy ya muhusika inaruhusu!
Lakini pia unaweza kuomba baadhi
ya option zikawa deactivated hasa
kwa magari binafsi mfano option ya
kurecord picha na sauti tunaweza
kuzizima,ikabaki ya route tu. Kama gari ikiibiwa,itatulazimu option
zote tuwashe ili tuweze kukusanya
taarifa muhimu zitakazo saidia
kupatikana kwa gari yako.
Gharama za mwanzo za kufungiwa
tracking system znajumuisha pamoja
na subscription ya miez sita.
Hivyo utakuja kuanza kulipia baada
ya miez sita toka umefungiwa kuisha Utalipia subscription ya miez
sita,ambapo package ya miez sita ni
Tsh 60,000/,sawa na 10,000/ kwa
mwezi. Usipo lipia,bado gari yako itakua
inarusha taarifa kwetu japo storage
yake ya taarifa itakua ni ndogo
ambapo kila baada ya masaa
72,information zitakua cleared....kwa
ajiri ya kupokea taarifa mpya.
Lakini kwa walio lipia taarifa zao
haziwi cleared mwezi mzima na
watakua wanapokea report ya kila
mwez kwenye email zao kuhusu
routes zote pamoja na kilomita
ambazo gari imetembea.na taarifa zao zitatunzwa kwa matumiz ya baadae.
Na pia kwa wale wanao kusanya
picha na sauti ztatunzwa ktk database
yetu. Clarity said: Je kuna malipo ya kila mwezi? Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia system hii pia tunauwezo wa
kuizima gari,au kui-rock isiiwake
kama ukitupa amri hiyo
. Kama ukihitaji tutakuwekea
emergency button ambayo
ukibonyeza system itaanza kurecord
picha na sauti ndani ya gari,na pia
itatutumia taarifa za
emergency...tutajua location ulipo tutawasilina na polisi na ndugu na
jamaa.
(button hii inatumika kama
umevamiwa na majambazi au
waharifu ndani ya gari na si
vingnevyo).