Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

Kwenye list ya Nyoka 10 wenye sumu Kali zaidi duniani.

Black mamba HAYUPOView attachment 1817136
ONYO:black mamba hayupo kwenye hiyo list lakini asije mtu akamchukulia poa mwamba huyo pindi akikutananaye,yale majaribio ya kuokota fimbo na kujaribu kumuua ni sawa na kamali ambayo unauwezekano mkubwa wa kupoteza,kuna umuhimu mkubwa wa watu kutembelea mabanda ya wizara ya maliasili na utalii,ili kumfahamu black mamba na kuwa na ufahamu wa kumtofautisha na nyoka wengine .
1623585899250.jpg
 
ONYO:black mamba hayupo kwenye hiyo list lakini asije mtu akamchukulia poa mwamba huyo pindi akikutananaye,yale majaribio ya kuokota fimbo na kujaribu kumuua ni sawa na kamali ambayo unauwezekano mkubwa wa kupoteza,kuna umuhimu mkubwa wa watu kutembelea mabanda ya wizara ya maliasili na utalii,ili kumfahamu black mamba na kuwa na ufahamu wa kumtofautisha na nyoka wengine .View attachment 1817405View attachment 1817405View attachment 1817405View attachment 1817405View attachment 1817405View attachment 1817405
Black mamba Wako very aggressive,
Ukilianzisha nae Basi ujue mpaka mlimalize Hakuna kukimbia pambano.
 
Ucdanganye watu japa hydrochloric ya tumbon tumbon si sawa na ya maabara ndio maanq mtoto akimeza hela anainya
Hydrochloric acid
pH Yake Ni 0.8 ikiwa tumboni

Ila ikiongezewa makali ,Iyo Iyo inaweza kuyeyusha chuma
 
Ana kichwa cheusi sana !!

Ila mkuu kuna kitu bado Hujaweka sawa ;

Hiyo sumu itaua hao watu 100 ndani ya muda gani ? Vp kama wakiwahishwa hospital ?

Swali la nyongeza..... Hivi inakuwaje hiyo sumu ya nyoka haimuathiri mwenyewe ikiwa ndani ya mwili wake ?
Sumu ya nyoka ipo kwenye gland,, haina direct contact na blood,, and inakuwa released as defensive mechanism response hyo iko triggered na nervous system,, ila hyo sumu yake akidungwa nayo mwenyew anakufa,, gland ya sumu za nyoka ziko connected na fangs zao for striking
 
Akuna ki2 km hicho we ukitaka kujua ingia wikipedia
Tumboni you have, 3 layers za muscles,, na HCL ya tumbo haitunzwi in gland ila ni process zinafuatwa ndo inatengenezwa na zymogen cells,, kama ikiwa released kweny tumbo na hakuna chakula mtu anapata peptic ulcers,,, na kwann mtu hatobok wakat kila akila HCl inatengenezwa ni kwa sababu kuta za tumbo huwe regenerated mara kwa mara,
 
Black mamba Wako very aggressive,
Ukilianzisha nae Basi ujue mpaka mlimalize Hakuna kukimbia pambano.
Imeripotiwa kwamba black mamba ndiye nyoka mwenye kasi zaidi Kati ya nyoka wote duniani,anatabia ya kumkimbiza adui yake mpaka ampate,ila ni nyoka ambaye hapendi vurugu za binadamu,mfano unaweza kuwa unachunga ng'ombe vichakani au unawinda,wakati huo wewe bado hujamuona na unavyozidi kumkaribia yeye anakua anaondoka sehemu hiyo hapendi bugudha,ila tatizo ukimshtukiza anainua kichwa juu na kuanzia kukufukuza kitakachoendelea sipendi kueleza kinasikitisha.
 
Back
Top Bottom