Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

kuna kile kinyoka cha majini kinaitwa sea snake kinaumbo dogo dogo tu lakin sumu yake sio ya nchi hii.Nilisoma mahali kuwa ndo kanaongoza kuwa na sumu kali na hatari kuliko vinyoka vyote.

Sumu yake inauwezo wa kuua binadamu 500 n.k kwa wakati mmoja kama wasipo pewa huduma haraka.

Good news ni kuwa haka kajamaa hakana tabia ya kushambulia watu hovyo labda ukachokoze mwenyewe.Ukikutana nako wala hata hakana tyme na wewe hakaoni sababu ya kuharbu sumu yake kwa limtu likubwa ambalo haliwezi kummeza.

Kwa taarifa zaidi ingia YouTube ama google
Ishu Ni concentration ya sumu

Sea snake aking'ata mara moja anauwezo wa Kutoa sumu ya kuua watu 6 mpaka 8 kwa mkupuo.

Wakati,
Inland Taipan aking'ata mara moja anaweza Kutoa sumu ya kuua watu zaidi ya 100.

Utafiti ulishafanyika tayari maabara,Na
Ikaonyesha kua
-Inland Taipan anahitaji concentration ya 0.025 mg/kg kumuua mtu mzima mmoja.
-Sea snake anahitaji concentration ya 0.044 mg/kg kumuua mtu mzima mmoja.

Bado INLAND TAIPAN Ni HATARI zaidi.
2021-06-13-13-19-18.jpg
 
Utafiti unonyesha kua Nyoka wengi wenye mwonekano mzuri sana na rangi nzuri za kuvutia.

Ndio wenye sumu Kali na hatari zaidi duniani.

Mf:
Black mamba
In land TAIPAN
Dubois sea snake
 
Ana kichwa cheusi sana !!

Ila mkuu kuna kitu bado Hujaweka sawa ;

Hiyo sumu itaua hao watu 100 ndani ya muda gani ? Vp kama wakiwahishwa hospital ?

Swali la nyongeza..... Hivi inakuwaje hiyo sumu ya nyoka haimuathiri mwenyewe ikiwa ndani ya mwili wake ?
Mungu ni fundi acha kabisa.

Jiulize kwanini Hydrochloric Acid iliyoko tumboni kwako iliyo na uwezo wa kuyeyusha chuma,
haikuathiri wewe mwenyewe uliye na mwili wa nyama.
 
Ishu Ni concentration ya sumu

Sea snake aking'ata mara moja anauwezo wa Kutoa sumu ya kuua watu 6 mpaka 8 kwa mkupuo.

Wakati,
Inland Taipan aking'ata mara moja anaweza Kutoa sumu ya kuua watu zaidi ya 100.

Utafiti ulishafanyika tayari maabara,Na
Ikaonyesha kua
-Inland Taipan anahitaji concentration ya 0.025 mg/kg kumuua mtu mzima mmoja.
-Sea snake anahitaji concentration ya 0.044 mg/kg kumuua mtu mzima mmoja.

Bado INLAND TAIPAN Ni HATARI zaidi.View attachment 1817248
Ndio mkuu ndo maana nimesema kuwa aka kajamaa hua akaoni umuhimu wowote kuharbu sumu yake bure kwa kitu ambacho hakimpi faida.
 
Kabisa,
Afu kana umbo dogo sana
Sema Mungu ni Fundi na anajua kupangilia viumbe vyake, kuna yule nyoka mwingine anaitwa water snake yeye yupo sana kwenye maji baridi sana kwenye maziwa na mito.

Haka nako kwenye top ten ya nyoka hatari kamo ni mkubwa kuliko huyo Sea snake ila na yeye pia ni mpole mpole.

Huyu nilishamshuhudia kwa macho yangu alimpa dozi muhuni mmoja alikua anavuta bangi ziwani alilia siku ikabid wa mwambie akae humo humo majini ili dokta aitwe.

Huyo muhuni alikufa baada ya mwezi hivi ko hyo inshu ilituogopesha kwenda ziwani 😂😂.
 
Back
Top Bottom