Fahamu: Nyoka mwenye sumu Kali zaidi duniani

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,452
99,075
Anaitwa INLAND TAIPAN

Anapatikana nchini AUSTRALIA.

Aking'ata Mara mojA TU huweza humimina kiasi cha 110mg (110miligramu) za sumu.

Ambazo zinatosha kabisa kuua binadamu (watu wazima) zaidi ya 100 kwa wakati mmoja.

Au kuua panya zaidi ya 250,000 (laki 2 na nusu) kwa wakati mmoja

Picha
images-158.jpg
images-156.jpg
images-157.jpg
 
Ana kichwa cheusi sana !!

Ila mkuu kuna kitu bado Hujaweka sawa ;

Hiyo sumu itaua hao watu 100 ndani ya muda gani ? Vp kama wakiwahishwa hospital ?

Swali la nyongeza..... Hivi inakuwaje hiyo sumu ya nyoka haimuathiri mwenyewe ikiwa ndani ya mwili wake ?
 
Ana kichwa cheusi sana !!

Ila mkuu kuna kitu bado Hujaweka sawa ;

Hiyo sumu itaua hao watu 100 ndani ya muda gani ? Vp kama wakiwahishwa hospital ?

Swali la nyongeza..... Hivi inakuwaje hiyo sumu ya nyoka haimuathiri mwenyewe ikiwa ndani ya mwili wake ?
Ni chini ya dakka 30, unakua tayar ushaaga dunia
 
kuna kile kinyoka cha majini kinaitwa sea snake kinaumbo dogo dogo tu lakin sumu yake sio ya nchi hii.Nilisoma mahali kuwa ndo kanaongoza kuwa na sumu kali na hatari kuliko vinyoka vyote.

Sumu yake inauwezo wa kuua binadamu 500 n.k kwa wakati mmoja kama wasipo pewa huduma haraka.

Good news ni kuwa haka kajamaa hakana tabia ya kushambulia watu hovyo labda ukachokoze mwenyewe.Ukikutana nako wala hata hakana tyme na wewe hakaoni sababu ya kuharbu sumu yake kwa limtu likubwa ambalo haliwezi kummeza.

Kwa taarifa zaidi ingia YouTube ama google
 
Back
Top Bottom