Fahamu njia watumiazo wanawake waliosonga umri kuwapata wachumba kanisani

Asilimia tisini ya wanawake wote wanaoendaga makanisani wanapenda atenshen akishajua kapendeza bas ndo ivo hata kama hana mkojo lazma atatoka aende ata choon mladi tuu apite katikati ya watu
Na hii si tuu kwa waliopita umri wa kuolewa ni kwa wote.
 
Habari JF mapenzi.

Wadada wengi waliosonga umri hupenda kutafuta attention kwenye mikusanyiko ikiwa ni pamoja na kanisani ili waonwe na wakaka au wababa wasioa. Njia hizi ni:

1. Kuchelewa kwenda kutoa sadaka, anaenda mwishoni huku watu wote wamemaliza ili kila mtu amwone.

2. Kuchelewa kushiriki Ekaristi takakatifu kwa wale wa Rc kwa minajili ileile anakuwa wa mwisho kabisa, akichelewa kidogo anaweza kukuta padri au sister anajiandaa kurudisha ekaristi iliyobaki.

3. Kuvaa nadhifu kabisa kama binti wa heshima na ikiwezekana nguo zibane mwili kama kaumbika, kama hajaumbika atavaa kadri ya mwili wake.

4. Amalizapo kutoa sadaka au kula ekaristi huja pole pole ktk kiti chake kwa mwendo wa madaha huku akiangaza macho kwa watu wa pande zote kanisani.

5. Huvaa miwani japo sio wote kuimarisha muonekano.

6. Humsalimia kila aliye jirani yake kanisani kwa sauti ya chini haswa vijana wa kiume kama ibada haijaanza

7. Aghalabu/Mara nyingi viatu vyao hutoa mshindo au kelele atembeapo.

8.Endelea.........
Perfect, nimesha date na mwanamke kama huyu , yaani ni mcha mungu balaa, baada ya mwaka nikagundua, ana mtoto baba hajulikani, ana wanaume zaidi ya sita nje na ndani ya tanzania, anaendesha magari kadi hana na copy zina majina ya wanaume walio nje ya tanzania anatoa jicho akinyw chupa nzima ya mvinyo, yaani nishetani balaa, lakini msubiri saa tatu jumapili utamkoma
 
ndio maana niliacha kwenda kanisani tangu mwaka 2008.
 
Perfect, nimesha date na mwanamke kama huyu , yaani ni mcha mungu balaa, baada ya mwaka nikagundua, ana mtoto baba hajulikani, ana wanaume zaidi ya sita nje na ndani ya tanzania, anaendesha magari kadi hana na copy zina majina ya wanaume walio nje ya tanzania anatoa jicho akinyw chupa nzima ya mvinyo, yaani nishetani balaa, lakini msubiri saa tatu jumapili utamkoma
Kanisani anaonesha sifa zote za kwenye Uzi?
 
Hao wanawake waliosonga umri ni wa umri gani isijekuwa unazungumzia wa rika moja na Steve Nyerere
 
Back
Top Bottom