Fahamu ni kwanini watu hawaogopi athari za uvutaji wa sigara

Jibu la swali lako ni la kuumiza kichwa.
Ungeambatanisha na swali la; kwanini binadamu wanapenda kavu wakati madhara ya ukimwi na magonjwa ya zinaa yenye madhara makubwa yanafahamika?
 
Nimefanya Research nyingi za Marketing za TCC kuhusu sigara,Sigara ina hela sana kupita hata pombe zozote.Yule wholesaler mwenye store mzigo unatembea na faida yake hugusi.

Serikali inaingiza pesa kupitia sigara so ni biashara nzuri na ina ulinzi mzito sio wa kitoto,escort ya kutosha.

Watumiaji wa sigara ni wengi sana yaani kati ya watu kumi watatu wanne wanatumia sigara,ni addictive na madhara yapo endapo utazidisha matumizi kwa siku ila ukitumia kwa wastani hamna madhara pia sehemu za baridi sigara hutia mwili joto.

Naonga mkono hoja ya kuwa sigara ni kati ya bidhaa inayotembea sana means ina watumiaji wengi kuliko tunavyofikiria kawaida, nikiwa binti wa miaka 15-16 nilikuwa naenda kusaidia dukani kwa mama, lilikuwa duka la jumla nakumbuka sigara was the best selling product of all time kati ya bidhaa zote za mule, sigara inatembea kuliko hata sukari Kwa kipindi kile na ule udogo nilikuwa najiuliza hivi anayevuyta sigara zote hizi ni nani mbona watu siwaoni wakivuta? Wateja wetu wa rejareja kila anapokuja kufunga mzigo kwenye purchase list yake sigara haikosi na unakuta anakuja mara 2-3 kwa wiki.
 
Zaidi ya nusu ya majimbo ya Marekani na Wilaya ya Columbia wamehalalisha bangi ya matibabu kwa njia fulani, na zaidi wanazingatia bili za kufanya hivyo. Wakati watu wengi wanapotumia bangi, FDA imeidhinisha tu kwa matibabu ya aina mbili za nadra na kali za kifafa, Dravet syndrome na Lennox-Gastaut.


Mimi sipingi matumizi ya Bangi kama tiba ya magonjwa yaliyothibitika kuponyeshwa na bangi, mfano watu wanadai kwamba bangi ikichanganywa na mafuta ya nazi ni tiba ya sikio linalotoa usaha, no objection on that, shida ipo pale ambapo watu wanatumia bangi kama kilevi (to feel high), hii ni sawa na mtu atumie vidonge vya piriton kulewa wakati hana ugonjwa wa mafua au hata Allergy nk.

Narudia tena, mimi sipingi matumizi ya Pombe, Bangi, cocaine nk, katika dose inayotakiwa (prescribed dosage) kwa ajili ya kutibu maradhi yaliyothibitika kwamba yanaponyeshwa na hizo dawa kwani kila ugonjwa unayo dawa yake na dawa ni pamoja na hizo zinazotumiwa vibaya kiasi kwamba zinaleta madhara ya kiafya kwa watumiaji wake.

Got the point??.
 
Sijui hata nianzie wapi ndo maana nilikuliza umri wako. Mbona liko wazi sana? Unaishi wapi? Umesoma mpaka langapi?


1---Anza popote pale panapofaa.
2---Umri sio akili na busara, hata mtoto anaweza kuwa na akili na busara regardless of his/her age.
3--- Elimu sio kuhudhuria madarasa bali elimu ni kiasi gani cha masomo kimebaki akilini katika miaka yote uliohudhuria madarasa kwani unaweza kusoma hadi ukapata Phd na mtu akasoma hadi darasa la 7 tu, lakini wa darasa la 7 uwezo wake wa kuhifadhi masomo kama ni mkubwa kuliko wewe mwenye Phd kichwani hakuna kitu ni bure na umepoteza muda mwingi shuleni for nothing.
 
Back
Top Bottom