stacia
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 749
- 1,432
Asante sanaIli niweze kufanya makaridio inabidi niwe na ramani yenye vipimo, kama ni vyumba viwili tu vilivyoungana vyenye urefu na upana wa futi kumi kumi utahitaji uwe na mawe ya ujazo wa 4m³ . Kina cha msingi futi 2, upana futi 1