Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,491
5,688
Usijidanganye mwanamme mwenzangu kuwa kuna siku utamridhisha mwanamke kwa lolote,kuanzia kwenye kumgegeda mpaka masuala ya kawaida,
wanawake wengi wao akili yao kama kuku,ukimpa mchele juu atapekua na chini zaidi.
Kwa hiyo mwanamme mwenzangu penda 45 tu,zingine jipende mwenyewe au wapende wanao,kama hayajakukuta siku yakikukuta ndio utajua.
Usione baadhi ya watu wanaishi single man ukawaona wajinga,waulize wakwambie.
Na nyie wanawake mnahangaika nini? Ona sasa mnafanywa incubator,mnazalishwa mtu anasepa,wewe unalea mtoto akifika miaka saba baba mtoto anabeba mwanae,utazalishwa na wangapi?
 
Unaposema wanawake hawaridhiki unamaanisha nn?? kama unamaanisha kugegeda basi wewe ndo utakuwa huwafikishi wanakotaka kufika, lkn ukimpandisha kale kamlima ukamfikisha kileleni mbona atakuita baba, yaani wanaridhika kinoma mpaka utamwonea huruma, sasa sijui unataka mpaka ashindwe kuamka kitandani asubuhi ndo utajua karidhika au mpaka azimie, looo.
 
Back
Top Bottom