Fahamu megapixel ni nini na na inafanya nini katka picha

Hafidhmussa95

Member
Aug 24, 2017
20
15
Najua neno hili tunaliskia sana na kuliona kwenye camera zetu, lakini je tunajua lina maanisha nini

Kabla ya megapixel (MP) inabidi kujua pixel ni nini
Pixel ni viboksi vidogo vidogo ambavyo vinatumika katka kujenga picha
IMG_6171.JPG

Meg pixel (MP) ni mkusanyiko wa pixel milioni moja.
Hapa vle vle uzuri wa picha utaweza kuonekana kwa kuangalia ni pixel ngapi zmejikusanya katka kujenga picha hyo.

Kwa mfano camera yenye (MP) 8 kwa haraka haraka itakua na viboksi vidogo vidogo milioni 8 kwa kla inch ambavyo vinatengeneza picha itakayo pigwa na camera hiyo

IMG_6170.JPG

La kumalizia ni kwamba tukiwa na viboksi vingi ina maanisha kua picha zetu zitakua nzuri
 
Mtoa mada anamaanisha kwamba mboga saba (pixels nyingi) ndio picha inakuwa bomba zaidi kuliko diko la tonge nyama ambalo unacount one two one two akati wenzako wanacheza draft
 
Wachache watakuelewa

Waambie hata lami ikichanganywa na vijiwe vidogovidogo ndio inapendeza
 
Najua neno hili tunaliskia sana na kuliona kwenye camera zetu, lakini je tunajua lina maanisha nini

Kabla ya megapixel (MP) inabidi kujua pixel ni nini
Pixel ni viboksi vidogo vidogo ambavyo vinatumika katka kujenga picha
View attachment 912468

Meg pixel (MP) ni mkusanyiko wa pixel milioni moja.
Hapa vle vle uzuri wa picha utaweza kuonekana kwa kuangalia ni pixel ngapi zmejikusanya katka kujenga picha hyo.

Kwa mfano camera yenye (MP) 8 kwa haraka haraka itakua na viboksi vidogo vidogo milioni 8 kwa kla inch ambavyo vinatengeneza picha itakayo pigwa na camera hiyo

View attachment 912469

La kumalizia ni kwamba tukiwa na viboksi vingi ina maanisha kua picha zetu zitakua nzuri
WORD
 
Back
Top Bottom