Fahamu mbinu za kupata fursa ya kufanya kazi na kampuni au taasisi yeyote ile

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
1. Hatua ya kwanza tafuta taarifa kuhusu hiyo kampuni au taasisi inashughulika na nini

2. Hatua ya pili tafuta Angalia ni aina Gani ya huduma wanazozitoa kwa wateja wao

3. Hatua ya tatu fanya utafiti wa juu zaidi kuhusu aina na huduma zitolewazo na ujitahidi uzielewe kiundani zaidi

4. Hatua ya nne tengeneza wazo ambalo unaona litaisadia taasisi au kuwaongezea wateja kupitia wewe

5. Hatua ya tano kishakuwa na hilo wazo fanya mpango ukutane na uongozi wa taasisi au kampuni waeleze nia yako ni kwanini unapenda kufanya nao kazi na kupitia wewe ni mabadiliko ya aina Gani unaweza kuwaletea

Ni hayo kama kuna mwingine ana kuongezea itapendeza akitushirikisha hapa
 
iyo number 5 ndio issue, yaani mpaka uonane na huo uongozi na wakusikilize kibongo bongo ni mbinde sana
 
Back
Top Bottom