Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Mkuu,

Bado sioni kupaka asali ktk mtalimbo kunawezaje sababisha mtalimbo uwe wima, au na nguvu za ziada. Sana sana labda kuongeza/rahisisha friction, vinginevyo kisayansi bado haijakaa sawa. Maybe we need to do an experiment lol..
 
Asalaam aleykum, Hongereni nyote mliopata tiba ya "babu" na wale ambao bado mjitahd kwenda folen imepungua! Baada ya hayo, naamin hum ndan kuna wataalam wa aina zote wakiwemo wa afya.

Nimekuwa nikisikia sana kuwa mdalasin unasaidia kuongeza nguvu za kiume,lakin tatizo linakuja kujua ni kwa kiasi gan kuna ukweli ndan yake kwan mara nyng unatumka kama kuongeza radha ya chakula. Vile vile ni upi hasa unafaa; wa unga utumiwapo kama chai au wa magamba unaochemshwa na kuachwa upoe kama baadhi wanavyodai? Na je,mhuska atumie mara ngapi kwa siku na kwa mda gani(duration)!?

Ni iman yangu kuwa thread hii itachangiwa na watalaam wenye timamu wenye uwezo wa kupambanua mambo, na wasio leta MZAHA na KEBEHI kwenye mambo ya msingi kwan hao wana FORUM yao!! Natanguliza shukran zangu.
 
Asalaam aleykum, Hongereni nyote mliopata tiba ya "babu" na wale ambao bado mjitahd kwenda folen imepungua! Baada ya hayo, naamin hum ndan kuna wataalam wa aina zote wakiwemo wa afya. Nimekuwa nikisikia sana kuwa mdalasin unasaidia kuongeza nguvu za kiume,lakin tatizo linakuja kujua ni kwa kiasi gan kuna ukweli ndan yake kwan mara nyng unatumka kama kuongeza radha ya chakula. Vile vile ni upi hasa unafaa; wa unga utumiwapo kama chai au wa magamba unaochemshwa na kuachwa upoe kama baadhi wanavyodai? Na je,mhuska atumie mara ngapi kwa siku na kwa mda gani(duration)!? Ni iman yangu kuwa thread hii itachangiwa na watalaam wenye timamu wenye uwezo wa kupambanua mambo, na wasio leta MZAHA na KEBEHI kwenye mambo ya msingi kwan hao wana FORUM yao!! Natanguliza shukran zangu.

Haya mkuu link hiyo........https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/103709-faida-ya-mdalasini-na-asali.html
 
Una nguvu na wengi umewasaidia chukua ule wa magamba usage kwenye blender ile ya kusagia viungo then upime kijiko kizima cha chai halafu weka maji kwenye kikombe kidogo cha chai weka na asali vijiko viwili vikubwa kama ikiwa ya maziwa pia ni nzuri kunywa utaona mabadiliko
 
Nashukuru kwani ushauri wako utasaidia wengi
 
Una nguvu na wengi umewasaidia chukua ule wa magamba usage kwenye blender ile ya kusagia viungo then upime kijiko kizima cha chai halafu weka maji kwenye kikombe kidogo cha chai weka na asali vijiko viwili vikubwa kama ikiwa ya maziwa pia ni nzuri kunywa utaona mabadiliko

ehh umewasaidia mwaya...km nawaona vile kesho wife usisahau amdalasin..teh teh!
 
Una nguvu na wengi umewasaidia chukua ule wa magamba usage kwenye blender ile ya kusagia viungo then upime kijiko kizima cha chai halafu weka maji kwenye kikombe kidogo cha chai weka na asali vijiko viwili vikubwa kama ikiwa ya maziwa pia ni nzuri kunywa utaona mabadiliko

hii nilikuwa siijui kabisaaaaaa. Asante Gaga
 
Una nguvu na wengi umewasaidia chukua ule wa magamba usage kwenye blender ile ya kusagia viungo then upime kijiko kizima cha chai halafu weka maji kwenye kikombe kidogo cha chai weka na asali vijiko viwili vikubwa kama ikiwa ya maziwa pia ni nzuri kunywa utaona mabadiliko

Point of interruption, can someone drink honey mixed with milk?
 
Point of interruption, can someone drink honey mixed with milk?

Ukishindwa kunywa ya kawaida usiweke maziwa au vip mlachake! kila siku asubuhi muhimu hata kama huna kwa sasa tatizo unastua mara mojamoja
 
kila siku asubuhi muhimu hata kama huna kwa sasa tatizo unastua mara mojamoja

Haina side effect kama viagra?
Manake tusije tukasema tunajiwekea kinga halafu huko mbeleni tukashindwa kufanya kazi mpaka tunywe dawa..
Naomba mwongozo tafadhali...
 
Haina side effect kama viagra?
Manake tusije tukasema tunajiwekea kinga halafu huko mbeleni tukashindwa kufanya kazi mpaka tunywe dawa..
Naomba mwongozo tafadhali...

hii aina madhara kabisa ni tofauti kabisa na viagra hii nikama virutubisho vyakula tunavyokula vinakosa virutubisho vingi sana angalizo ogopa sana dawa za nguvu za kiume za kupewa na wale waganga wenye mabango cjui ukinywa baada ya nusu saa tu unapata majibu kwani wanasagaga viagra wanachanganya na wanachokijua wanakuambia ni mitishamba
 
Point of interruption, can someone drink honey mixed with milk?

mkuu kama upati ucngizi vzuri ukinywa maziwa na asali utajisikia usingizi mtamu sana na uchovu unaisha wote unaamka safi ipo ata kwenye bible nchi itoayo maziwa na asali
 
Back
Top Bottom