Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

Nimefanya utafiti kwangu mimi mwenyewe ndio nikagunduwa huo ungunduzi wangu kuwa asali inao uwezi wa kusafisha Ini na Figo ukiitumia siku 40 Mfululizo na pia itakuwezesha wewe Mwanamme Dushelele (Penis) lako kusimama kila wakati unapo taka kulitumia kimapenzi kazi kwenu.

Hapo kwenye dushelele ndio msingi wa kila kitu.
 
asali inasaidia mtu aliyefanyiwa upasuaji wa tumbo?anatumiaje
LUSA.Mimi nilifanyiwa upasuaji na kidonda kikachelewa sana kupona nikashauriwa kuwa nasafisha kidonda na eusol au hydrogen peroxide halafu unapakaza asali ktk kidonda. Mwanzo nilishangaa sana.. lakini nilipona kwa muda mfupi mno
 
Last edited by a moderator:

Kweli kabisa
 
Last edited by a moderator:
Sawa mtaalamu was copy and paste, il a jitahidi uweze kutafsiri kwa kiswahili kama ulivyoandika title yako!
 
1896792_272058852960259_1827741773_n.png

PENDELEENI KUTUMIA LIMAU,TANGAWIZI MBICHI NA KITUNGUU SAUMU HIVI VITATU VINATIBU MARADHI SUGU MWILINI.
 
1896792_272058852960259_1827741773_n.png

PENDELEENI KUTUMIA LIMAU,TANGAWIZI MBICHI NA KITUNGUU SAUMU HIVI VITATU VINATIBU MARADHI SUGU MWILINI.

MziziMkuu, samahani huku nilipo kuna patikana zaidi ndimu kuliko limao. Je, naweza kutumia ndimu badala ya limao ktk huo mseto??
 
Dr je huo ukali ilioko katika bidhaa hizi au dawa hizi hazitamsumbua mwenye vidonda vya tumbo. je ni vipi kuhusu matumizi kwa mtoto mdogo. Je uwiano ukoje wa huo mchanganyiko.
 
Back
Top Bottom