Fahamu masuala mbalimbali kuhusu ugonjwa wa Homa ya ini (Hepatitis B)

Ikiwa amesha ambukizwa na Virusi Vya Homa ya ini kinga za mwili tu peke yake haziwezi kupambana na hao virusi wahoma ya ini pasipo na kutumia dawa za kuweza kuwauwa hao Virus i wa Homa ya ini ka Hepatitis B Virus. Maradhi ya Homa ya ini ni mabya zaidi kuliko hata Ukimwi.
Biashara.
 
Nasikia huu ugonjwa noma sana kuliko corona

kIongOzI Wa BaaDae
 
Wakuu jana tukiwa katika ibada alikuja aliyejiita mwakilishi toka Marie Stoppers na kuanza kunadi kile kinachoitwa chanjo ya homa ya ini.

Maswali yangu ni kuhusu usalama wa hii chanjo, je kuna waliochanjwa humu na matokeo yalikuwaje kwao?
 
Mkuu chanjo hii haina madhara!.unachomwa mara 3 kwa vipindi tofauti tofuati ,Kwa Dar unaweza ipa Ocean road Hospital
 
Kama huumwi, Nakushauri achana na mambo ya chanjo chanjo,,,achana na mambo ya madawa madawa. Wazungu hawana nia nzuri na sisi.
 
Back
Top Bottom