Fahamu mapinduzi na mafanikio kwa biashara/kampuni yako yatokanayo na kumiliki website yenu

Marketer

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
261
55
Hello

Microtelecomms Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusiaha na masuala ya Web
Designing, Web Registration, and Web Hosting technology ambapo yatafanikisha wewe/kampuni yako kumiliki tovuti yenu binafsi. Hatutakutengenezea tovuti ilimradi tovuti tu ila tutahakikisha tunakupatia tovuti ya kisasa itakayo vutia wateja na yenye ufanisi ili kuifanya biashara yako ipatikane zaidi mtandaoni.
Wataalamu wetu ni wasomi, wamedhibitishwa(certified) na wanaujuzi wa haya mambo ya tovuti wa miaka 5 na zaidi
Kumiliki tovuti yenu kutainufaisha biashara/huduma yenu manufaa yafuatayo
• Mtapapatikana matandaoni 24/7 tofauti na ofisi zenu mnazokuwa wazi asubuhi na jioni tu.
• Mtawafikia wateja wengi ndani ya mda mfupi sana
• Wateja watafahamu zaidi kuhusu biashara yenu kwa kusoma habari zenu zaidi mtandaoni. Na pia itawaongezea ushindani kwani wapinzani wenu watakuwa wanamiliki website.
• Pia website itaipa kampuni muonekano wa kimataifa na kiprofessional zaidi.
• Website pia itawasaidia kuongezea maelezo kwenye matangazo yenu kwa kuweka tu link kwenye tangazo husika, ili wateja wanaohitaji habari zaidi waingie tu mtandaoni na kuzipata.
• Website itasaidia promosheni ya bidhaa zenu, zama hizi za utandawazi watu hawana muda wa kupita na kutafuta bidhaa, waingia mtandaoni na kutizama bidhaa za kampuni mbalimbali na kufanya maamuzi.

Bei zetu ni nafuu na kazi zetu ni za ubora wa hali ya juu sana.

Bei zetu kwa kila kitu (registration,Hosting and Designing of highest quality) tunaanzia 700,000/= Ila mwaka unaofuata na kuendelea sababu hamna cost za designing unalipia hosting tu ambayo ni inagharimu kuanzia 100,000/= tu kutegemeana na package utakayochagua.

Endapo kama unahitaji kimojawapo pia tunafanya na vina bei yake
Registration 30,000/=
Hosting Kuanzia 100,000/=
Designing kuanzia 500,000/= kutegemeana na package na matakwa ya features atakazohitaji mteja.

Tumefanya kazi na kampuni, asasi, mashirika, shule, vyuo na watu binafsi nyingi sana na kama unahitaji kuona sample tembelea www.microtelecomms.com


Mawasiliano

MICROTELECOMMS
P.O.Box 79307, Dar es salaam.
Tel: +255 (22) 2461678
Fax: +255 (22) 2461679
Cell: 0756323213
Website: www.microtelecomms.com
Email: sales@microtelecomms.com
 
mkuu heshima zako!! mimi natengeneza kikampuni changu nimeamua kuwa mjasirilimali baada ya kuona magamba wanavyotufanyia kitu mbaya, sasa mimi nimeamua kula nao sahani moja si kwa kufisadi bali kwa kufuata sheria na taratibu zote za biashara najua magamba hawawezi na hawana akili ya kushindana kibiashara kwani wao wanategemea zaidi lump sum money za madeal !!!! ha ha ha aaa!!! sasa nikirudi kwenye hoja ya msingi swali la nyongeza kwako mkuu je nikisha jisajiri na nyie mkaniundia website kutakuwepo na gharama zaidi kama za maintanence fee or anything? au tukishalipana tu basi kila mtu kivyake!!!
 
Gharama ya maintanance hakuna mdau, coz tutakupa basic training itakokuwezesha kumaintain mwenyewe, na kama tatizo ni kubwa tuta kucharge minimal fee haitofika 100,000/=.
 
Back
Top Bottom