Fahamu mambo muhimu ya kufanya katika kila hatua ya Ujauzito

Rafiki yako au wewe
Kama alikutana siku ya 13 na ana mzunguko wa siku 28 anapossibilty kubwa sana ya kua mjamzito.
Hio tumbo la bleed afu hamna damu hiyo ni implantation process inaendelea kwa tumbo la uzazi.
Nenda pharmacy kamnunulie kile kipimo cha mimba ajihakikishie mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante..
Sisi wanawake huwa kuna vitu hasa vya hofu lazima tutaongea tu kutoana hofu au kutaka ushauri,so alikuwa rafiki yangu.
 
Asante kwa darasa zuri,

Samahani nje ya mada kidogo.....nina rafiki alipata bleed tarehe23feb mpaka Leo hajapata bleed tena,na alikutana na mpenzi wake siku ya 13 toka mp ianze.

Je inaweza kuwa ni mimba maana hana dalili yoyote zaidi ya maziwa kujaa ila kila siku anasikia Mp inataka kutoka lakini haitoki anashindwa kuelewa nini hicho? Msaada kwa nini anajisikia kupata mp kila siku na haitoki??
Vijana mnapenda kupigana miti tu, ukijulishwa matokeo yake unaanza kutafuta mbinu za kumkimbia mwenzako. Kijana wa hovyo sana wewe.
 
Asante..
Sisi wanawake huwa kuna vitu hasa vya hofu lazima tutaongea tu kutoana hofu au kutaka ushauri,so alikuwa rafiki yangu.
Kumbe ni KE? Basi nisamehe Mkuu wangu, hizi K-Vant zitatuua aisee.
 
na apite mume apa ajifunze kitu , wengine badala ya kucheza na mtoto tumboni mama anakula makofi ya kutosha.
 
Asante kwa darasa zuri,

Samahani nje ya mada kidogo.....nina rafiki alipata bleed tarehe23feb mpaka Leo hajapata bleed tena,na alikutana na mpenzi wake siku ya 13 toka mp ianze.

Je inaweza kuwa ni mimba maana hana dalili yoyote zaidi ya maziwa kujaa ila kila siku anasikia Mp inataka kutoka lakini haitoki anashindwa kuelewa nini hicho? Msaada kwa nini anajisikia kupata mp kila siku na haitoki??
Ivi mtoto mlimuita jina gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom