MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,686
- 31,470
Hayati alikua kundi gani?
Hayati alikua kundi gani?
Ni bora ukarudia kukagua mlango mara mbili kuliko kukubali kwamba uliufunga kumbe umesahau ulitoka nje tena dakika chache zilizopita na safari hii ulipoingia ndani ukasahau kuufunga kabisa. Ko ni bora urudie kuukagua mara mbilimbili itakuwa ni ADVANTAGE kwako!Mi huwa narudia kukagua milango
Wasiwasi mwingi kumbe ni ugonjwa
Hapana hapo aisee ila huwa na wasiwasi sana na kupaniki na kukasirika harakaYeaah ni tatizo hilo. Hua nakumbana nalo sana.
Nikuulize, Je hua unapata hali ya kutaka kujidhuru kwa kujikata na kiwembe, kujipiga au kujichoma kitu pindi unapokua na hasira au huzuni?
Nahisi ninayo hiyo hali. Kuna siku niliondoka nyumbani bila kujiridhisha kama nimezima gesi, aisee nilipata taabu sana kule kazini, sikuwa na raha kabisa. Mawazo ya kurudi kuhakikisha yalikuwa yakinijia sana huku nikitafakari namna nyumba ilivyogeuka jivu. Ila niliporudi baadaye nilikuta gesi imezimwa na hapakuwa na tatizo lolote.Yaani unajikuta tu kutokana na kuwa na wasi wasi wa kitu fulani basi akili yako inakulazimisha kufanya jambo fulani kuliko hali ya kawaida ili tu kulikwepa lile unaloliogopa. Unaweza ona ni kawaida ila sio kawaida ni ugonjwa. Maana mpaka kufikia kuitwa OCD basi ni kuwa hyo hali tayari inaathiri maisha yako kwenye mahusiano au hata kiuchumi.
Mara moja moja ni kawaida. Ila tatizo likiwa ni mfululizo kwa muda mrefu ndo inakua maradhi sasa.Nahisi ninayo hiyo hali. Kuna siku niliondoka nyumbani bila kujiridhisha kama nimezima gesi, aisee nilipata taabu sana kule kazini, sikuwa na raha kabisa. Mawazo ya kurudi kuhakikisha yalikuwa yakinijia sana huku nikitafakari namna nyumba ilivyogeuka jivu. Ila niliporudi baadaye nilikuta gesi imezimwa na hapakuwa na tatizo lolote.
Hua unaLog off kitu gani??