Fahamu makosa na adhabu zitolewazo na sheria zinazokataza matumizi ya mifuko ya plastiki Tanzania

Rafiki mbona wakenya wao wameweza
Kwanini sisi tushindwe?
Japo nadhani kwa hili tumekurupuka
Mifuko hii inatokea nchini kenya kuja kwetu
Japo wao hawaitumii
Pale mpakani Sirari wanaivusha sana
na wanadai ina faida mno
Ila nasi tunawauzia bangi pia
Ninachosema viwanda vikifungwa bila kuwepo adhabu watu wataingiza mifuko toka nje na itaendelea kuwepo, hivyo adhabu ni suluhisho kubwa kwa mswahili, jela wiki moja inatosha kumuadabisha mswahili.
 
Back
Top Bottom