Fahamu Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,274
24,141
  • Uhuru wa kisiasa na Diplomasia ya kisiasa
  • uhuru wa kiuchumi na Diplomasia ya kiuchumi
  • Uongozi wa kuleta tekenolojia ya kisasa kukuza uchumi
  • Tanganyika na Zanzibar
  • safari na ziara za viongozi kama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya nchi
  • Arusha International Conference Centre (AICC) ambayo ni taasisi chini ya Wizara ya Mambo ya Nje
  • n.k n.k

Tizama video hii ikielezea majukumu yote ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kama inavyoelezwa na Waziri wa Mambo ya nje kwa kushirikiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje:

SEHEMU YA KWANZA:



Video kwa hisani ya Mdauwalibeneke wa Youtube a.k.a Michuzi
 
Last edited by a moderator:
SEHEMU YA PILI:


UTAWALA BORA
MPANGO KAZI
MIAKA 30 ya Chuo cha Diplomasia (ubia wa Tanzania na Mozambique)

 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mjenda Chilo,
Niki-'samaraizi' maneno ya wizara ktk maandishi jamaa hawachelewi kukanusha kuwa JF inazua maneno ambayo wizara haijasema ndiyo maana nimetundika video-live bila chenga tusikie toka kwao wenyewe.
 
Back
Top Bottom