Fahamu maana ya baadhi ya misamiati ya Kipare

Kipemba, Kijita, Kibondei, Kipare, Kichaga (Rombo), Kisambaa, Kidigo.

Nimeshindwa lugha hizi
Kikuria kwasababu kinahitaji energy wakati wa kuongea
Kihaya kwasababu lazima upoteze baadhi ya herufi
Hapo bado lugha za kigeni mfano kiingereza.

You also speak foreign language other than the fore mentioned?
 
Yes, French and Arabic, intermediate. Arabic ni ile ya Falestine au Palestina. Kuna tofauti kidogo kwa lugha hizi
Ni kama vile English ya Louisiana na ya Pennsylvania au English ya England vs Ireland

Kuna lugha ukifahamu moja automatic utafahamu ya pili. Kwa mfano, Kijita ni Kabila Kubwa kule Musoma eneo la Majita. Ukifahamu Kijita bila shaka utafahamu Kiluri au kikwaya, tofauti ni ndogo sana, ni 'clan' wanaziita tribe

Kule Tanga ukifahamu Kipare automatic Kisambaa kwasababu kuna mahusiano ya maneno sana.
Kisambaa ni kama '' ''Kriol ' ya Kipare. Unafahamu Jamica English ilivyo! Wagwan ! me can't bend etc

Tatizo la lugha ni kubwa kwa Kabila lako Mushi! Chagga si Kabila ni shirikisho la makabila. Hapo juu nimekuwekea (Rombo) kwasababu Kimachame, Uru n.k. ni tofauti Kabisa. Siyo kama ilivyo Kijita, Kiluri au Kikwaya

Suprisingly Kirombo kinafanana sana na lugha ya Kigweno. Yaani Warombo wapo karibu sana na Wagweno kuliko Wamachame, Wakirua n.k. Kuna mtu aliniambia Wagweno ni Warombo waliokimbilia Milimani.

Again, Wagweno ni 'sub tribe ya Wapare' yaani wapo Pare dominated region. Wagweno can speak broken Kipare But not vice versa.

Ninyi Wachaga mkifanya conference lazima mtumie kiswahili au kiingereza kwasababu hakuna lugha ya pamoja.
 
Genius you are.

Uko vizuri mkuu natamani kufahamu profession yako.

Je unavitendea haki vipaji vyako?
 
Haya Mkuu tutajadili yote, naona unaniweka 'on spot'

Kitu nilichojiufunza, kwanza, lugha inafundishika kwa urahisi katika umri mdogo. Pili, ukielewa lugha zaidi ya moja iwe local or international inafungua nafasi ya kujifunza nyingine. Mfano, Kiarabu kilisaidia sana kujua Kifaransa na inakuwa rahisi kusoma kihispani. Kwahiyo mtu mwenye mtoto akazanie lugha, hata local ni muhimu sana

Lugha inabeba utamaduni wa jamii, na zimenisaidia sana katika kufahamu namna ya kuchangamana na jamii.

Tulitoka Tanga kama kundi tulipofika Kilwa nilikuwa maarufu muda mfupi, tulipofika Songo songo vivyo hivyo kwasababu tayari nilikuwa na lugha za Pwani na hivyo ni rahisi sana kuchangamana.

Natafuta wasaa tutajadili
 
Jakaya =Za Nyumbani

Kikwete = Asiyejali

Namnani Havae = Vipi Aisee

Uitwanga nani? = Unaitwa Nani?

Watonga wapi = Unaenda wapi

Nigavie Havae = Nigawie Aisee(Jamaa)

Nienda kukodhoa kidogo = Naenda kukojoa Kidogo

Harika!!! = Kuonesha Mshangao!

M'bora = Mwanamume (Mvulana)

M'bwange = Mwanamke (Msichana)

Shiga Du! =

Iki..

N'zhoo = Njoo

MICHANGO YA WADAU:

===
Denga
Bhulula
Wamija
Ngasu
Kasenge

Nipe maana mkuu
 
Haya Mkuu tutajadili yote, naona unaniweka 'on spot'

Kitu nilichojiufunza, kwanza, lugha inafundishika kwa urahisi katika umri mdogo. Pili, ukielewa lugha zaidi ya moja iwe local or international inafungua nafasi ya kujifunza nyingine. Mfano, Kiarabu kilisaidia sana kujua Kifaransa na inakuwa rahisi kusoma kihispani. Kwahiyo mtu mwenye mtoto akazanie lugha, hata local ni muhimu sana

Lugha inabeba utamaduni wa jamii, na zimenisaidia sana katika kufahamu namna ya kuchangamana na jamii.

Tulitoka Tanga kama kundi tulipofika Kilwa nilikuwa maarufu muda mfupi, tulipofika Songo songo vivyo hivyo kwasababu tayari nilikuwa na lugha za Pwani na hivyo ni rahisi sana kuchangamana.

Natafuta wasaa tutajadili
You’re exceptional no doubt.

I’m listening…
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom