Fahamu kwanini vijana wanaukwaa VVU ingawa wanatumia kinga(condoms)

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Katika somo hili cheo cha uchungaji nakipaki pembeni kwa dk chache ili niokoe wasikivu wachache.

Tabia au matendo nitakayoyaorodhesha si kwamba kwa 100% humpelekea mtu kuambukizwa VVU ila huchangia maambukizi.

Kwenye masomo haya kuna msemo unasemwa hivi "CALL THE SPADE A SPADE NOT A BIG SPOON" Yaani chepe iitwe chepe na sio kijiko kikubwa.

Kijana anapima oil kisha anautumia mkono huohuo kuvaa kondomu , hapo hujafanya kitu, ute ule umeingiza ndani ya condom na kujiweka kwenye hatari ya kuambukizwa au kumwambukiza VVU mwenzi wako.

Kijana amezama Uvinza bila kondomu kweupe kisha anavaa kondomu. Ooohh

Kijana/binti anakula koni kisha anasema hapa sitoi mpaka uvae kings, oooohh.

Binti akipata mchumba au buzi jipya hunyoa kipara , oooohhh. Kipara ni hatari kama mmoja wa wapenzi ana VVU.

Naamini vijana tutabadilika, UKIMWI upo, watu husema ni kama malaria ila ukiukwaa utaona mdomo unavyokuwa mzito kutamka neno UKIMWI.
 
Katika somo hili cheo cha uchungaji nakipaki pembeni kwa dk chache ili niokoe wasikivu wachache.
Kwenye masomo haya kuna msemo unasemwa hivi "CALL THE SPADE A SPADE NOT A BIG SPOON" Yaani chepe iitwe chepe na sio kijiko kikubwa.
Kijana anapima oil kisha anautumia mkono huohuo kuvaa kondomu , hapo hujafanya kitu, ute ule umeingiza ndani ya condom na kujiweka kwenye hatari ya kuambukizwa au kumwambukiza VVU mwenzi wako.
-Kijana amezama Uvinza bila kondomu kweupe kisha anavaa kondomu. Ooohh
- Kijana/binti anakula koni kisha anasema hapa sitoi mpaka uvae kings, oooohh.
-Binti akipata mchumba au buzi jipya hunyoa kipara , oooohhh. Kipara ni hatari kama mmoja wa wapenzi ana VVU.
Naamini vijana tutabadilika, UKIMWI upo, watu husema ni kama malaria ila ukiukwaa utaona mdomo unavyokuwa mzito kutamka neno UKIMWI.
Acha ujinga mkuu UKIMWI ni ukosefu wa kinga mwilini tyu hata ukiugua maralia ni UKIMWI
 
Hivi umeona ile takwimu ya WHO juu ya maambukizi ya VVU duniani?
Unajua kwanini wasomi wanaongoza?
OK, keep do it ila usiache kuleta mrejesho baada ya miaka michsche mbele.
Shortly Mkuu una elimu au ufahamu Mdogo saana Kuhusu Virusi vya Ukimwi, Kitaalamu HIV is the Hardest Virus to transmit, sio rahisi kupata HIV kiasi hicho!
 
Hivi umeona ile takwimu ya WHO juu ya maambukizi ya VVU duniani?
Unajua kwanini wasomi wanaongoza?
OK, keep do it ila usiache kuleta mrejesho baada ya miaka michsche mbele.
ila case sio hio mkuu, wasomi wengi wanaignore HIV kwa kiasi Kikubwa
 
Kuna jamaa nilkuwa sijamuona kama mwaka hivi,nimekutana naye jana kawa mweusi balaa na vipele mwilini kibao nuru imepotea,ila kabla sijamuona nilipata story kwamba alipata kibarua akawa anapata pesa sana hivyo akaenda kuvamia "DEGE LA JESHI LINALOTUMIA MBAAZI BILA KUJUA" ,nilivyomuona jana sijajiuliza mara mbili kama neyeye KAUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA TAIFA.

Ngoma aka Dally kimoko aka Mkono wa Nyani Upo.....Vijana wadogo 18-30 wanateketea sana kwa NGWENGWE.
 
Ooohhhh my God, Mungu tuhurumie.
Vijana wengi wamekwenda, na wengine wako foleni.

Vijana kinachotusumbua ni Ushamba yaani kuwa na mademu wengi ndio ujanja ,yaani kutembeza rungu kitaa tunaona ndio ujanja,hali imeharibika ngoma ipo,wengi wameumia sema wanatumia minjingu mbolea kurutubisha mwili.

Kuwa na mpenzi m1 unayeaminiana ,Pima mwenza wako kabla hamjaanzisha uhusiano kaa miezi mitatu pima tena,mpeleke kwa daktari unayemuamini ampime kama anatumia MINJINGU.
 
Kuna jamaa nilkuwa sijamuona kama mwaka hivi,nimekutana naye jana kawa mweusi balaa na vipele mwilini kibao nuru imepotea,ila kabla sijamuona nilipata story kwamba alipata kibarua akawa anapata pesa sana hivyo akaenda kuvamia "DEGE LA JESHI LINALOTUMIA MBAAZI BILA KUJUA" ,nilivyomuona jana sijajiuliza mara mbili kama neyeye KAUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA TAIFA.

Ngoma aka Dally kimoko aka Mkono wa Nyani Upo.....Vijana wadogo 18-30 wanateketea sana kwa NGWENGWE.
:D, eti mkono wa nyani.
 
Back
Top Bottom