Sasa unataka aitaje vipi,wakati mwizi mwenyewe kajisema mahakamani nawakati huo huo hakimu anamwambia futa kauli yako wewe sio mwiziNi vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .
Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .
Hii si dalili njema .
Wacheni kazi ziendelee.Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .
Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .
Hii si dalili njema .
Kwa hiyo?Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .
Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .
Hii si dalili njema .
Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .
Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .
Hii si dalili njema .
Una maanisha kwamba mambo yale yale ya ukatili na utekaji bado yangalipo ?HAIPO KWENYE ILANI YA CCM 2020-2025. HAPO NDIYO UJUE CCM NI ILELE, KUSHANGILIA KWENU KWA KUFA KWA MAGU, HAKUJABADILISHA CHOCHOTE. NGOJA MAMA AWAPIGE KWA NGE MKOME KABISA, MAANA MLIONA MAMA MTAMTEKA KWA VISIFA UCHWARA VYENU VYA MWANZONI.
NAONA MMEANZA KUMUONA MAMA HAFAI TENA PAMOJA NA YALE MAPAMBIO UCHWARA YA MAPEMA.
USIKONDE, BAADA YA KUKAMILIKA KWA MIRADI YA KIMKAKATI ILIYOACHWA NA HAYATI MAGU, NAAMINI HILO SWALA KATIBA MPYA LITAKUJA, KUWA NA SUBIRA, MKUU, ERYTHROCYTES, KAZI IENDELEE. HOTUBA YA MAMA ILIKUWA OVER 90% MAGU, UPO MKUU? NDIYO MAMA MAANA KIBARAKA WAKO ALIYEKO UGHAIBUNI HAKUBALIANI NAYO, NA HUYO NDIYO MAMA, MKUU.
umeokota wapi huo uongo wako ?Kwa hiyo?
Chadema wenyewe hawaongdli tume mpya mpaka wakishindwa uchaguzi
Mungu ibariki JFTuendelee kutafuta Katiba bora
Mkuu mnashindwa nini?Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .
Nimeanza na hili ili kuwaonyesha wadau kwamba Mh Rais anajua sana kuhusu mahitaji ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi kwenye nchi hii , huyu ndiye aliyekuwa msikilizaji msaidizi wa hoja zote za wadau wa Katiba Mpya ndani ya bunge lile , lakini cha ajabu ni kwamba Katika Hotuba yake bungeni hakugusia chochote kuhusu jambo hilo .
Hii si dalili njema .
Una uwezo mwembamba sana ! kwangu anayewaza kula tu kama wewe huwa namhurumia sana !Mkuu mnashindwa nini?
Mnafeli wapi ?!!!
Ingizeni kipengele cha KATIBA MPYA katika ilani yenu ya uchaguzi 2025.....
Wananchi wanaotaka KATIBA MPYA huwenda wakawachagua na sisi tusiotaka hiyo KATIBA tukashindwa!
#KaziIendelee
🤣🤣Sawa "intelligent" RBC!Una uwezo mwembamba sana ! kwangu anayewaza kula tu kama wewe huwa namhurumia sana !