kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
bila shaka umeshawahi kuisikia NASA(National Aeronautics and Space Administration) na majukumu yake.
inasemekana hii ni moja ya taasisi bora duniani inayoongoza kwa kuajiri watu brilliant katika sayansi.
ni taasisi inayoongoza kuajiri "ma-genius " wa mathematics, physics, chemistry,biology, geography,rocket science,aerospace engineering, computer science,mechanical engineering na masuala yote yanayohusu elimu ya kulichunguza anga(astronomy) kwa ujumla wake.
binafsi sikusomea masuala ya sayansi ila napenda sana kujiongezea ufahamu kwa kusoma vitabu, majarida, articles na kutembelea kurasa zinazo zungumzia sayansi.
nilikuwa naperuzi mtandao wa LinkedIn, nikasema acha nifungue ukurasa wa NASA. nikiwa katika ukurasa huo, nikakutana na profile/CV za baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hii nyeti duniani.
kwa kuwa nilikuwa nimevutiwa na CV zao, nimeona si vibaya nikizileta hapa ili ku-motivate members wa jf wanaovutiwa na mada za kisayansi lakini pia ku-motivate ndugu au jamaa zetu waliopo vyuoni wakisomea masuala ya kisayansi au uhandisi katika vyuo mbalimbali.
NB: kuna tetesi wapo watanzania wanaofanya kazi NASA. mwenye ukweli juu ya hili atatujuza au anaweza kuleta taarifa zao. ni kwa nia njema tu ya kujenga na si vinginevyo.
hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa NASA na CV zao.