Fahamu kuhusu Yulin dog meat festival


SNAP J

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Messages
4,791
Likes
3,127
Points
280
SNAP J

SNAP J

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2013
4,791 3,127 280
Hili ni tamasha la aina yake linaloadhimishwa kila mwaka mwezi Juni Kusini mwa Uchina ikiwa ni sehemu ya kusherehekea kilele cha msimu wa joto.
Kila mwaka mbwa wapatao elfu kumi(10,000) huchinjwa katika sherehe hizo. Wanyama hao huteswa na kuchinjwa kwa njia za kikatili kabisa kwani inaaminika kufanya hivyo huongeza ubora wa kitoweo hicho..


84b9513d036ded67ed66646ad93df3a1.jpg


538ff52bde4432fe4f005ef520044503.jpg


089fa28b88e61d4fbc6558bdfc619d5d.jpg


de01c5e47a837f9c9cd6a87e07485db8.jpg


eb633693bcd6ddf91e2bad879aa4e9d7.jpg


49eddfd2aa9c2ac4bf43631501c673fd.jpgLakini hali imeanza kubadilika nchini humo hasa siku za hivi karibuni, kwani kumekuwa na ongezeko kubwa la wanaharakati na watu wanaopinga vikali ukatili huo dhidi ya wanyama hawa wanaoaminika kuwa ni rafiki wa karibu zaidi wa mwanadamu.

3883d136463cb4ca2e8681828a244e8b.jpgTakwimu pia zinaonyesha kumekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaopenda viumbe hao (dog lovers) tofauti ukilinganisha na ziku za nyuma.


142eac775b471083b6927231a97bcd32.jpg


152d4060f786e804ddebfd28bfcaf92a.jpg
 

Forum statistics

Threads 1,237,964
Members 475,809
Posts 29,308,152