tzhosts

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
375
465
logo.gif

Je, biashara yako IPO Mtandaoni?

Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo.

Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya kila mwaka.

Ili kufurahia ofa hii tupigie kwa simu namba 0757323060 au tuma email kwenda info@tzhosts.com

Unaweza pia kutembelea Tovuti yetu na kuona huduma zetu nyingine

Ofa hii inaendelea hadi 30 October 2023

Karibuni sana.
 
Ofa bado inaendelea

Piga simu 0757323060 au email info@tzhosts.com website kwa miaka 2,domain pamoja na emails 5 kwa gharama ya 199,000 tu za kitanzania
 
Leo ofa yetu imefikia mwisho.Kwa wale ambao walifanikiwa kuipatia hongereni kwa ambao hawajaipata kuna masaa 12 ya kufurahia ofa hii.
 
logo.gif

Je, biashara yako IPO Mtandaoni?

Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo.

Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 299,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa unafanya malipo ya kila mwaka.

Ili kufurahia ofa hii tupigie kwa simu namba 0757323060 au tuma email kwenda info@tzhosts.com

Unaweza pia kutembelea Tovuti yetu na kuona huduma zetu nyingine

Ofa hii ni mpaka Tarehe 31 Mei 2023.
 
Fursa nzuri kwa wafanyabiashara wa mtandaoni, sasa masoko ya dunia yameamia mtandaoni.
Ila sasa website maintenance na jinsi ya kutumia hizo website mtoe darasa ili wafanyabiashara wasiogope na wajue faida zake pia. Kwa nini uwaandikie faida zake? kwa sababu masoko kama haya watu wanajiunga for free kwenye baadhi ya social medias, elimu inahitajika. Hongera. .
 
Fursa nzuri kwa wafanyabiashara wa mtandaoni, sasa masoko ya dunia yameamia mtandaoni.
Ila sasa website maintenance na jinsi ya kutumia hizo website mtoe darasa ili wafanyabiashara wasiogope na wajue faida zake pia. Kwa nini uwaandikie faida zake? kwa sababu masoko kama haya watu wanajiunga for free kwenye baadhi ya social medias, elimu inahitajika. Hongera. .
Asante kiongozi ni kweli elimu inahitajika katika eneo hili.Hii ni moja kati ya mkakati wa kutoa elimu.

 
Asante kiongozi ni kweli elimu inahitajika katika eneo hili.Hii ni moja kati ya mkakati wa kutoa elimu.

Ndio maana nikaona nitoe ushauri wangu kwako
Wengi wanapenda kutumia social media kuweka matangazo kama ulivyoweka hili hapa JF bure
Kuna namna ya kutoa elimu na umeweka elimu watu wajue faida zake zaidi. .
Shukrani sana umeutendea vyema uzi. .
 
Habari za wakati huu;
Je wewe ni mmiliki wa MICROFINANCE?JE wewe ni Mwanakikundi wa KIKOBA au SACCOS?Je mnahitaji mfumo mzuri kwa ajili ya kusimamia shughuli zenu za kikundi kwa gharama nafuu kabisa na usalama wa uhakika?Kama Jibu ni ndio tunawaletea mfumo wa kipekee wa usimamizi wa kikoba ambao una sifa zifuatazo:

  1. Una Mfumo wa kusajili wanachama na kuwapa akaunti namba
  2. Una mfumo wa kuweka akiba(DEPOSIT)
  3. Una mfumo wa KUTOA PESA(WITHDRAWAL)
  4. Una Mfumo wa kuomba mkopo(LOAN)
  5. Unaweza kuweka aina tofauti za mikopo,riba na njia za malipo ikiwamo,malipo ya kila siku,kila wiki,kila mwezi etc.
  6. Unaweza kuweka mfumo wa kukotoa riba wa fixed au wa reducing balance
  7. Unaweza kutoa taarifa ya Mapato na Matumizi pamoja na taarifa nyingine
  8. Unaweza kuweka ada maalum ya mkopo.
  9. Mfumo unapatikana kwa njia ya mtandao au unaweza kuwekwa katika Computer yako tu(Offline)
Mfumo ni Rahisi kutumia na unazingatia matakwa ya kisheria na kikanuni.Iwapo ungependa kufahamu kuhusu Mfumo tafadhali wasiliana nasi kwa email:sales@tzhosts.com.

Huduma inapatikana Tanzania nzima.
 
logo.gif


Je unahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara yako?Jipatie simple business card website kwa ajili ya biashara yako.Wasiliana nasi kwa email:inf@tzhosts.com
 
Habari za wakti huu
Tumekuwa tukifanya shughuli za kutengeneza tovuti kwa zaidi ya miak 10 sasa.Tumekuwa tukitumia tools na mbinu mbalimbali katika kutengeneza tovuti.Katika kipindi hiki tumeona wateja wetu wakiacha kuzihudumia tovuti zao kutokana na kutokuona umuhimu na faida zake.Jambo hili limetufanya tutafiti ili tuone ni kitu gani kinafanya wateja wasione umuhimu au faida za tovuti katika biashara zao.

Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo tuliona yanaathiri utendaji kazi wa tovuti nyingi ikiwamo ambayo kimsingi ni kukosekana kwa mkakati madhubuti wa kutumia tovuti kutengeneza pesa.Hivyo basi kwa kuanzia sasa hivi tumeamua kubadilisha uelekeo wetu wa kutengeneza tovuti na badala ya kuwa tu huduma ya kutengeneza tovuti tunawapa wateja huduma ya nyongeza ya Kuwaandalia na kusimamia Mkakati wao wa matumizi ya tovuti.

Umuhimu wa mkakati wa tovuti ni kwamba unakuwa na mpango kabambe wa kusimamia na kutumia tovuti katika biashara yako ambao utahusisha yafuatayo:
  1. Mkakati wa Mawasiliano na Wateja(Customer Engagement and Communication Strategy)Mkakati huu unalenga kuleta Muunganiko wa mawasiliano ya kampuni au biashara yako na wateja kwa kuwa na taarifa za mara kwa mara ikiwamo barua na maandiko
  2. Mkakati wa Mauzo ambao unalenga kurahisisha uuzaji au ununuaji kwa njia ya Tovuti kwa kuungani tovuti na njia nyingine za mawasiliano kama vile,mitandao ya kijamii,simu,SMS n.k.Na kutumia teknolojia kurahisisah mawasiliano na ushughulikiaje wa maulizo kutoka kwa wateja
  3. Mkakati wa Maudhui ambao unahusisha aina ya maudhui ya kuweka na namna ya kuyasambaza ili kuwafikia wateja wengi.Katika mkakati huu unaweza kuandaa maudhui kulingana na matukio,kipindi cha mwaka,maukio ya kijamii n..k
Vile vile ni vizuri tovuti ikiwa na Mfumo wa Malipo,mfumo wa mawasiliano kwa hudumwa kwa wateja,Mfumo wa Mteja kuweza kufanya Price Quotation moja kwa moja kwa njia ya Mtandao

Kuna maeneo ya kiufundi na kimtindo ambayo mmiliki na mtengenezaji wa tovuti wanapaswa kuyatazama hasa katika hatua za mwanzo za utengenezaji ili kuhakikisha tovuti inakuwa na muonekano mzuri na rahisi kwa ajili ya kutumia kwenye vifaa vya aina tofauti.

Kwa mahitaji ya Tovuti kwa gharama nafuu na kwa haraka tuwasiliane kwa email:sales@tzhosts.com
 
Back
Top Bottom