Platinum Consultancy
Member
- Jul 3, 2016
- 19
- 13
Habari,
Ni matumaini yetu kwamba nyote mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kitaifa.
Leo tungependa ku-share nanyi juu ya miradi (Projects) na usimamizi wake kiujumla (Projects Management)
USIMAMIZI WA MIRADI (PROJECT MANAGEMENT) ni utumiaji wa taaluma, ujuzi na zana za kitaalamu katika utekelezaji wa mradi (project implementation) ili kuhakikisha malengo mahususi ya mradi (project objectives) na malengo makubwa (project goals) yanafikiwa.
Mafanikio katika mradi yanaangaliwa katika utimilifu wa vipengele vitatu:
MRADI NI NINI ?
Kabla ya kutoa tafsiri ya neno hili ni vyema kwanza tukafahamu maana ya neno shirika (organization) na pia operesheni (operation)
Shirika ni kikundi cha watu waliojikusanya pamoja kwa ajili ya kufikia au kutimiza lengo fulani ima la kibiashara, kimichezo n.k
Operesheni ni shughuli yoyote ifanywayo na shirika yenye sifa ya kujirudia rudia,na pia yenye sifa ya kuwa endelevu.
Hivyo basi kwa mukatadha huu neno MRADI huweza kutafsirika kama ni shughuli yoyote ifanywayo na shirika isiyo ya kudumu yenye lengo la kutengeneza/kuleta bidhaa au huduma mpya ndani ya kipindi cha muda maalum na kwa kutumia kiasi maalum cha rasilimali (resources). Siku zote lengo kubwa la shughuli hii (yaani mradi) ni kuliwezesha shirika kufikia malengo yake ya kimkakati (strategic goals)
Sifa za mradi
Mradi siku zote huwa na sifa zifuatazo:
Tunatoa huduma ya ushauri wa kitaalamu katika maeneo yafuatayo: PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT, BUSINESS DEVELOPMENT AND MANAGEMENT, OPERATIONS MANAGEMENT, LEADERSHIP SKILLS DEVELOPMENT & TAX MANAGEMENT
Pia tunatoa huduma za:
-Uandishi wa michanganuo ya miradi (Project Proposals)
-Uandishi wa mipango ya biashara (Business Plans)
-Uandishi wa mipango mikakati ya mashirika (Strategic Plans)
-Utoaji wa semina katika maeneo tuyatoleayo ushauri wa kitaalamu.
Kwa mawasiliano tutafute kwa namba 0719 518367, 0657935110, 0783 695639
E-mail platinumconsultancy74@gmail.com

- Gharama (costs)
- Ratiba (Schedule)
- Uainisho (specification))

- Mradi una sifa ya upekee, hii ina maana ya kwamba mradi unapokamilika au kufikia malengo yake, huja na bidhaa au huduma ambayo haikupata kuwapo mwanzo katika eneo husika.
- Mradi huwa na muda maalum, utekelezaji wa mradi huanza kwa kipindi mahsusi na hupaswa kumalizika kwa kipindi mahsusi. Japo wakati mwingine mabadiliko katika mipango hutokea na kuathiri umaalum wa muda katika utekelezaji.
- Mradi huisha na huwa wenye mafanikio pale malengo yake mahsusi yanapofikiwa (project objectives), ambapo kufikiwa kwa haya malengo mahsusi hupelekea pia kufikia japo kwa asilimia kadhaa lengo kubwa la mradi (project goal)