Covid 19 ni ugonjwa mpya unaoathiri mapafu na njia za hewa.
unaosababishwa na virusi viitwavyo Coronavirus.
Dalili za ugonjwa huu ni homa, kukohoa na kupumua kwa tabu.Wazee na wale wenye shida nyingine za kiafya hupatwa na dalili kali zaidi
Mpaka sasa hakuna chanjo wala chanzo, mgonjwa hupewa dawa za kupunguza dalili - si kuua virusi - wakati kinga ya mwili ikipambana na virusi.
Kuepuka maambukizi nawa mikono kwa sabuni, na mara kwa mara. Unapokohoa na kupiga chafya funika uso kwa leso.
Virusicorona vinapokuingia huchukua siku mbili hadi 14, au wastani wa siku 5, kuanza kuonyesha dalili. Hivyo kipimo cha mara moja kama kipimajoto kinaweza kukupa matokeo potofu.
Fuatilia na fuata maelekezo ya wataalam wa afya.