Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Nauli yake bei gani na unalipa wapi nijiuzeni wakuu nataka kwenda huko soon imposible
Ushauri ukitaka kwenda huko download VPN ( nzuri ukanunua original) kisha download tor browser /,orbot ,kisha zama huko ukajionee
 
Niliachana na hii kitu baada ya kujua wale jamaa wanaweza hack hata camera ya PC yako. Wakawa wanafwatilia nyendo zako.

Pia kuthibisha huko ni hatari kuna kiutani maarufu wanasema "nilivutiwa na stories za dark web hadi nilipofungua nikakuta (Mimi) ninauzwa."
ahahahahah! pumbaf sana wewe kijana umeamua kutuuza au siyo? au ndo kile cha A town
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom