jf ni chuo hakikaUshauri ukitaka kwenda huko download VPN ( nzuri ukanunua original) kisha download tor browser /,orbot ,kisha zama huko ukajionee
Hivi ni 'Deep Web' au 'Dark web'
Ni security measure kuhakikisha inaendelea kuwa secureKunaogopesha sana, nimeingia usiku saa 10 simu ilizima gafla ndo imewaka saivi...hawa jamaa wanatumia kitu gani? Hata screenshot huwez kupiga,hata kudownload picha!!!!! TZ kumbe bado tupo gizani sana.....
Hahaaa . Muthengee kweli weweNimejaribu kuingia naona cm yangu inapiga picha za ghetto automatic haizim nimeiacha nje kwanza nawaza nikaiweke kwenye maji chakushangaza kila naipeleka nje naikuta ndan jaman plzz msiingie huko
Nmenunua rocket ranger zangu mbili jana hukoTrue say....i wish i had an access to tha web
nimeipenda hiyo avatar yakoHabar tam sana ila comment zinaogopesha.
Kama kilometer ngapi mkuu kwenda huko nijipangeni mwendo wa url tu.
Ushauri ukitaka kwenda huko download VPN ( nzuri ukanunua original) kisha download tor browser /,orbot ,kisha zama huko ukajionee
Uchokozi mwingine bana wakujitakia la hata haufai, ina maana na wale jamaa wenye madela nao wanamilikiwa na kafir ? hawakawii kukutumia majini hata km avtr yako ni fake,Kama unataka jua zaidi gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
ahahahahah! pumbaf sana wewe kijana umeamua kutuuza au siyo? au ndo kile cha A townNiliachana na hii kitu baada ya kujua wale jamaa wanaweza hack hata camera ya PC yako. Wakawa wanafwatilia nyendo zako.
Pia kuthibisha huko ni hatari kuna kiutani maarufu wanasema "nilivutiwa na stories za dark web hadi nilipofungua nikakuta (Mimi) ninauzwa."