Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

hizi naona ni strori
Na hii tor browser unaweza idownload hata kwenye chrome

Sema sasa inaboa vibaya mno coz huko hamnaga story wala mapicha picha ya kuvutia kiufupi is not friendly like other search engine and i think is because huko most of people huko wapo kikazi zaidi .............!

Then unaingia page inaitwa silkroad where is one of the largest site for transaction kama ilivyo kwa alibaba au ebay,kikuu,
There you will find people selling
Illegal drugs
Weapons ambapo most of waasi hutumia that way to buy weapon

Also wanatoa mafunzo on how you can torture human as a punishment

Lakuni pia mbali na hayo it is good if used in good way coz if you do business there hakuna maswala ya kukatwa makodi kodi with banks during money transfer na TRA coz there inakulink one to one with the person
Na wanatumia BITCOIN as mode of money for transaction coz haiitaji central bank system like all other currency

Tutaendelea zaidi sorry now npo na kazi kidogo..............!
hizi naona ni stori tu za mitandao, sasa.muuza bangi huko mexico ananifikiaje ili nipate mzigo wangu.
 
Siri moja tu ya dark/deep web ni katika URL🏃🏃🏃 na washikaji/marafiki kibao wasio na huruma wapo kule...

Mambo ya bank bin na info zote kule simply unapata kwa urahisi sana.
 
Hakika ulimwengu huu una mambo mengi ambayo hatuyafahamu bado, kila siku tunaweza kujifunza jambo jipya hadi mwisho wa maisha yetu.

Intaneti ni kitu ambacho kwa ulimwengu huu wa sasa kila mtu anakitumia kwa njia moja au nyingine. Jambo la kushangaza ni kuwa pamoja na kutumika huku kwa intaneti bado kuna mambo mengi ya kushangaza tusiyoyajua.

Je wajua kuwa ipo sehemu ya mtandao wa intaneti iliyofichwa? Sehemu hii inajulikana kama Deep web na Dark web.
Karibu ufuatilie makala hii ili nikufahamishe juu ya sehemu hii ya mtandao wa intaneti iliyofichwa (Deep web na Dark web)
Deep web ni nini?

Deep web ni sehemu ya intaneti ambayo haionekani kwenye injini pekuzi kama vile Google na Bing — moja kwa moja injini pekuzi haziwezi kuona sehemu hii kwa sababu imefichwa isionekane.

Deep web siyo kitu kilicho nje ya huu ulimwengu bali ni kitu ambacho umekuwa ukikitumia mara kwa mara — barua pepe yako, benki mtandao, meseji zako za Twitter, LinkedIn n.k Taarifa hizi haziwezi kuonekana kwenye injini pekuzi kwa kuwa zinalindwa kwa nywila (password) au kulipiwa ili kuziona.

“Vitu vyote visivyoweza kupatikana kwenye uso wa juu wa mtandao kwa kutumia injini pekuzi ni sehemu ya Deep web”
Ikizingatiwa kuwa tuna mabilioni ya watumiaji wa mtando wa intaneti duniani, hivyo inaelezwa kuwa kuna mamilioni ya taarifa au data zilizoko kwenye Deep web.

Hata hivyo inaminika kuwa Deep web inaunda sehemu kubwa ya mtandao; Deep web inaweza kuonwa kwa kutumia kivinjari (browser) cha kawaida kama vile Chrome na Firefox.

Dark web ni nini?

Dark web siyo sehemu tofauti na intaneti bali ni sehemu ya Deep web ambayo haiwezi kuonwa kwa kutumia kivinjari (browser) cha kawaida.

Kwa nini Dark web haiwezi kuonwa kwa kivinjari cha kawaida? Ikizingatiwa kuwa shughuli nyingi zinazofanyika kwenye Dark web ni haramu, si rahisi wahusika wake kuruhusu mambo haya kuonekana kwenye vivinjari vya kawaida.

Je kwenye Dark web kuna shughuli gani?

Uuzaji wa madawa ya kulevya
Uhalifu wa kila namna (uuzaji wa viungo vya binadamu, ajira za kutisha, ugaidi n.k)
Wadukuzi hatari wa kompyuta
Uuzaji wa taarifa na vitu vilivyoibiwa
Picha za unyanyasaji wa kingono hasa watoto
Uuzaji wa silaha
Mawasiliano ya wanaharakati na waandishi wa habari wanaotaka kuibua maswala mbalimbali. Hutumia njia hii kujificha wasije wakakamatwa na serikali au mahasimu wao. Mtandao wa wikileaks unapokea pia taarifa kupitia Dark web.
Je tovuti za Dark web zinaperuziwaje?

Tovuti za Dark web zinaishia na anwani mtandao (domain) zenye .onion, ambazo zinaweza kufunguliwa kwa kutumia kivinjari cha Tor pekee.

Tor ni kivinjari (browser) cha namna gani?

Tor ni kivinjari kilichotengenezwa na watu wakujitolea (voluntiers) kutoka sehemu mbalimbali duniani, ambacho hufanya kazi kwa usiri wa hali ya juu wa kuficha mawasiliano pamoja na watumiaji wake.

Hivyo mtu anayetembelea tovuti fulani au kufanya chochote kwenye mtandao kwa kutumia kivinjari hiki siyo rahisi kubainika.

Kwa mfano unaweza ukawa unaperuzi mtandao kwa kutumia Tor ukiwa Tanzania lakini ukaonekana mara uko Japan, mara Uingereza au hata Marekani.T browser

Ikumbukwe kuwa kutembelea Dark web siyo kinyume cha sheria lakini kufanya vitu huko kunaweza kuwa kinyume cha sheria kutokana na tovuti nyingi kufanya vitu vinavyokiuka sheria.

Kwenye Dark web siyo mahali panapovutia kama sehemu ya kawaida ya mtandao wa intaneti tulio uzoea. Tovuti nyingi huku zimetengenezwa kwa makusudi maalumu au pengine ya siri, hivyo hazikujali wala kukulinda.

Ili kuperuzi kwenye Dark web ni lazima uwe na kiungo (link) cha tovuti unayotaka kutembelea kinachoishia na .onion kwa mfano http://zqktlwi4fecvo6ri.onion. Hii ndiyo Dark web, hakuna kugoogle hapa; mambo yanaenda kwa namna ya ajabu ajabu tu.

Je Dark web ni mbaya?

Hapa kuna majibu mawili ndiyo na hapana. Pamoja na kuwa shughuli nyingi zinazofanyika kwenye Dark web sio halali, bado kuna toleo lake la Facebook na ProPublica kwa anauani ya .onion.

Lakini ukumbuke kuwa wachambuzi wa mambo wanasema tovuti hizi zinaweza zisiwe za kweli, kwani si rahisi Fecebook kukubali watumiaji wake kutumia anwani za kujificha za .onion. Hivyo kuwa makini na taarifa zako za siri huku.

Uzuri wa Dark web ni kuwa inawawezesha waandishi wa habari, wanaharakati na wale wanaoibua taarifa za siri kuwasiliana na kubadilishana taarifa bila wao kujulikana.

Ni wazi kuwa hakuna kitu kibaya kwenye mtandao bali ni matumizi pekee ndiyo hukifanya kiwe kibaya.

Neno la mwisho

Naamini umejifunza mengi ambayo hukuwa unayafahamu kuhusu sehemu ya intaneti iliyofichwa. Lakini pamoja na hayo uliyojifunza ningependa kukushauri kuwa makini sana kama utaamua kutumia Dark web. Kumbuka pia kuzingatia sheria kwani uhalifu, maovu na ukatili wa kutisha umejaa kwenye Dark web.

Kwa mfano picha za video za watu wakichinjwa, ubakaji wa watoto, wizi, chuki na ubaguzi husambazwa bila woga wowote. Wadukuzi hatari pia wamejaa kwenye Dark web, hivyo epuka kutoa taarifa zako, kupakua kitu chochote au kufanya muamala wowote.
Kama unataka jua zaidi gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Hapana huko hakufahi kabisa, niliwahi kuingia na kila siku ilikuwa lazima nitembekee web yao, kuna MTU alinionya kuwa niachane na hii web ila nikawa mmbishi. Kuna siku nimeingia kwenye web yao simu ilizima hapo hapo jumla na mpaka Leo ilishindikana kutengeneza IPO ndani ile smartphone ni kopo nikanunua nyingine. NawaOmbeni achana na hiyo dark web kama huna kazi nao
Pole saana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo nimeingia nimeona jamaa wanauza unga na kila aina ya madawa ya kulevya unayoijua wewe, huko kuna watu wanauza paypal accounts zenye dollars kibao ndani yake ambazo ziko hacked, tena zinauzwa kwa bei rahisi hatari, huko kuna wanaouza vitambulisho vya utaifa hasa USA na UK kwa dollars 1000 hadi 5000, huko kuna wanaoweka video za watu waliobakwa mitaani na kudhalilishwa, hukowanaweka ngono za watoto wadogo za kulazimishana, huko wanauza credit cards zilizoibiwa zenye pesa ndani yake kwa bei chee! huko wanauza vifaa vya apple/samsung vilivyoibiwa kwa kuporwa/bandarini kwa bei chee tena ni original kabisa. Huko kuna mitandao ya kijamii watu wanadiscuss jinsi gani dunia iwe na wafanyaje kuleta teknolojia mpya yenye bad impact ndani yake. Huko kuna drug dealers wazoefu hatare. Huko kuna soko bubu/ soko jeusi (black market) soko lenye bidhaa nyingi kwa bei chee. Ila nilichokiona pale ni kwamba ikiwa ukanunua bidhaa isiyo halali basi ni rahisi kuwa tracked na kukamatwa maana most of the sellers sio wauzaji kweli wengine ni FBI/Polices wapo pale kugundua wanunuzi ni wakina nani na chain ya wauzaji ikoje. So kuwa makini pita kimya kimya bila kufanya muamala. Huko kuna video na habari za siri za wanasiasa wa duniani kote ambazo jamii haijaambiwa kwa ulimwengu wa kawaida moja ya mtandao ulioko pale OG ni Wiki Leaks yenyewe yenye version iliyojificha. Alafu kuna baadhi ya sites haziko listed kokote zaidi ya sehemu maalum tu. hata ukizisearch kwa duckduck go huzipati kirahisi sasa nilibahatika kuzipata kama 5 kutoka kwenye baadhi ya forums za siri huko, aisee kuna watu wanafanya unyama hatari hii dunia ni chafu sana dah! watu hawana huruma kabisa! watu hawajali, i think ni ma agents wa shetani wale dah!

wale wa tor browser ingia hapa uone nusu ya maunyama http://gjgbztmown7d6usl.onion/

NITAWEKA SCREENSHOTS HAPA MUONE JAPO NAHOFIA MODS WATAZIONDOA AU WATABAN ID YANGU ILA NDO UKWELI WENYEWE JAMII INAPASWA KUJUA WHAT IS GOIN ON!

Kama unataka niweke screenshots haraka gonga LIKE, zikifika 50+ nafichua madudu yote ya mule ndani.
 
leo nimeingia nimeona jamaa wanauza unga na kila aina ya madawa ya kulevya unayoijua wewe, huko kuna watu wanauza paypal accounts zenye dollars kibao ndani yake ambazo ziko hacked, tena zinauzwa kwa bei rahisi hatari, huko kuna wanaouza vitambulisho vya utaifa hasa USA na UK kwa dollars 1000 hadi 5000, huko kuna wanaoweka video za watu waliobakwa mitaani na kudhalilishwa, hukowanaweka ngono za watoto wadogo za kulazimishana, huko wanauza credit cards zilizoibiwa zenye pesa ndani yake kwa bei chee! huko wanauza vifaa vya apple/samsung vilivyoibiwa kwa kuporwa/bandarini kwa bei chee tena ni original kabisa. Huko kuna mitandao ya kijamii watu wanadiscuss jinsi gani dunia iwe na wafanyaje kuleta teknolojia mpya yenye bad impact ndani yake. Huko kuna drug dealers wazoefu hatare. Huko kuna soko bubu/ soko jeusi (black market) soko lenye bidhaa nyingi kwa bei chee. Ila nilichokiona pale ni kwamba ikiwa ukanunua bidhaa isiyo halali basi ni rahisi kuwa tracked na kukamatwa maana most of the sellers sio wauzaji kweli wengine ni FBI/Polices wapo pale kugundua wanunuzi ni wakina nani na chain ya wauzaji ikoje. So kuwa makini pita kimya kimya bila kufanya muamala. Huko kuna video na habari za siri za wanasiasa wa duniani kote ambazo jamii haijaambiwa kwa ulimwengu wa kawaida moja ya mtandao ulioko pale OG ni Wiki Leaks yenyewe yenye version iliyojificha.

NITAWEKA SCREENSHOTS HAPA MUONE JAPO NAHOFIA MODS WATAZIONDOA AU WATABAN ID YANGU ILA NDO UKWELI WENYEWE JAMII INAPASWA KUJUA WHAT IS GOIN ON!

Kama unataka niweke screenshots haraka gonga LIKE, zikifika 50+ nafichua madudu yote ya mule ndani.
Nasubiria mkuu.
 
leo nimeingia nimeona jamaa wanauza unga na kila aina ya madawa ya kulevya unayoijua wewe, huko kuna watu wanauza paypal accounts zenye dollars kibao ndani yake ambazo ziko hacked, tena zinauzwa kwa bei rahisi hatari, huko kuna wanaouza vitambulisho vya utaifa hasa USA na UK kwa dollars 1000 hadi 5000, huko kuna wanaoweka video za watu waliobakwa mitaani na kudhalilishwa, hukowanaweka ngono za watoto wadogo za kulazimishana, huko wanauza credit cards zilizoibiwa zenye pesa ndani yake kwa bei chee! huko wanauza vifaa vya apple/samsung vilivyoibiwa kwa kuporwa/bandarini kwa bei chee tena ni original kabisa. Huko kuna mitandao ya kijamii watu wanadiscuss jinsi gani dunia iwe na wafanyaje kuleta teknolojia mpya yenye bad impact ndani yake. Huko kuna drug dealers wazoefu hatare. Huko kuna soko bubu/ soko jeusi (black market) soko lenye bidhaa nyingi kwa bei chee. Ila nilichokiona pale ni kwamba ikiwa ukanunua bidhaa isiyo halali basi ni rahisi kuwa tracked na kukamatwa maana most of the sellers sio wauzaji kweli wengine ni FBI/Polices wapo pale kugundua wanunuzi ni wakina nani na chain ya wauzaji ikoje. So kuwa makini pita kimya kimya bila kufanya muamala. Huko kuna video na habari za siri za wanasiasa wa duniani kote ambazo jamii haijaambiwa kwa ulimwengu wa kawaida moja ya mtandao ulioko pale OG ni Wiki Leaks yenyewe yenye version iliyojificha. Alafu kuna baadhi ya sites haziko listed kokote zaidi ya sehemu maalum tu. hata ukizisearch kwa duckduck go huzipati kirahisi sasa nilibahatika kuzipata kama 5 kutoka kwenye baadhi ya forums za siri huko, aisee kuna watu wanafanya unyama hatari hii dunia ni chafu sana dah! watu hawana huruma kabisa! watu hawajali, i think ni ma agents wa shetani wale dah!

NITAWEKA SCREENSHOTS HAPA MUONE JAPO NAHOFIA MODS WATAZIONDOA AU WATABAN ID YANGU ILA NDO UKWELI WENYEWE JAMII INAPASWA KUJUA WHAT IS GOIN ON!

Kama unataka niweke screenshots haraka gonga LIKE, zikifika 50+ nafichua madudu yote ya mule ndani.
All of this for just likes? Nenda Insta huko watakupa likes mpaka uchoke mkuu
 
All in all guys Please kama mtu haupo na ujasiri usitumie tor browser kuingia huko maana sio tu unyama but Kuna vitu vya ajabu ambavyo baadhi ninevishuhudia. Kuu best yangu aliingia na kuagiza laptop lakin cha ajabu ni kwamba laptop ilikuwa hacked balaa sana kana kwamba ilikuwa ikiwaka yenyewe without hata kuwasha. Mwisho wa siku aliiuza tu kwa mtu. But it is more than scary kuingia huko ndani.

Sent using Infinix hot 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom