Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Watanipatia wapi, nipo bongo Bahati mbaya
usidhani kuishi kwako tanzania inakupa guarantee ya kuwa salama.
kwenye ulimwengu wa darkweb dunia ni kijiji kidogo sana.

kitufe cha location kama kipo ON kwenye smartphone yako ni rahisi sana kukupata kama mtu atakuwa na dhamira ya kufanya hivyo. ndio maana inashauriwa kuzima kitufe cha lacation.haina sababu kiwe ON mda wote.
 
Anahisi kuingia Dark Web ni sehemu ya mzaha mzaha ,camera tu ya PC na phone inabidi azime
 
Yaah huko kuna tisha sana unaweza kwenda na usirudi salama, yaani kule ni dunia nyingine, kuna jamaa anauza huko Nuclear Bomb anataka nimtumie advance billion 160, kwa njia ya Bitcoin, hapa nataka niende Nikaangalie mchakato bandarini nalipitisha hapo nione nitatoswa kodi how much na TRA.....
why unanunua nuclear bomb!
 
Msiogope kuthubu kuchunguliako, kwani mna nini!. Ni waharifu kwamba mkidukuliwa mtakamatwa! they don't waste time with nobody's unless uko interested na business zao
 
kwa hiyo kati ya google, mozila, bing etc ipi ni browser salama
Ukitaka kuingia huko uwe na VPN Strong ( au uwe mkali wa network security) nawatumia DDG ( Duck Duck Go ) iko km google ,website nyingi huko ni dot Onion ,na si dot com
 
Kwa upande wa simu unahitaji application mbili.
Orbot - ku-establish vpn au bridge connection
Orfox - ku-browse

For starters unaweza kutembelea deepweblinks.org kupata baadhi ya links zilizopangiliwa katika different categories

Search engine kama duckduck to go etc
Nikishadownload orbit nafanya nini ili kuestablish VPN?
 
Nami lazima nizame huko huu uthubut muhimu,wengine wanaweza sisi tunakalia woga tu,hela hatuna ,nyumba tunaishi za mbavu za mbwa ,liwalo na liwe , naomba maelekezo ya kina nizame huko walikojoficha na biashara zao
Yeah ni lazima kutoka out of your comfort zone ili ugrow kama binadamu

Ukikuta kuna nafasi za kazi nikumbuke na mimi mkuu
 
Yeah ni lazima kutoka out of your comfort zone ili ugrow kama binadamu

Ukikuta kuna nafasi za kazi nikumbuke na mimi mkuu
Screenshot_20181016-171933.jpeg

Muonekano wa Orbot na Orfox
Screenshot_20181016-171556.jpeg

Hicho kitunguu hapo mwanzoni kitakuwa kinasoma start. Uki-click ndio kinaanza ku-establish connection.
VPN mode na Bridges ni additional options endapo utapenda
Screenshot_20181016-171505.jpeg
Screenshot_20181016-171544.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom