Bado sijaelewa vizuri namna ya kuingia huko mkuu.. Nipe muongozo rahisihuko hakufai kuna wakati nilikiwa nafatilia video za isis kwa kweli nilikoma
ni mwendo wa url tu.swali la msingi.. hivi dark web wana seach engine yao??? au kutafuta taarifa huko ni mpk uwe na url husika??
Unatumia tor browserswali la msingi.. hivi dark web wana seach engine yao??? au kutafuta taarifa huko ni mpk uwe na url husika??
Inaitwa Duck Duck Go ,ziko kibao,kule kuna news nzito,hizo za kutisha ukiamua kuzitafuta utazipata ila ziko news nzuriswali la msingi.. hivi dark web wana seach engine yao??? au kutafuta taarifa huko ni mpk uwe na url husika??
Tor nitaipatajeInaitwa Duck Duck Go ,ziko kibao,kule kuna news nzito,hizo za kutisha ukiamua kuzitafuta utazipata ila ziko news nzuri
Tor Nita ipatajeUnatumia tor browser
Download browser inayoitwa tor, install alafu endelea. Cha msingi uwe na links ambazo utazipeste kwenye URL input ya tor.Bado sijaelewa vizuri namna ya kuingia huko mkuu.. Nipe muongozo rahisi
Play storeTor Nita ipataje
Play storeTor nitaipataje
DownloadTor Nita ipataje