Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

JINSI PUNYETO INAVYOWAMALIZA VIJANA.

Habari ninasaidia vijana kuondokana na tatizo la nguvu za kiume leo nimeamua kushare na nyinyi “jinsi punyeto inavyomaliza vijana”. Unapopiga punyeto unakuwa unaiminyamishipa ya uume ambayo ndio inafanya uume usimame matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kupitisha damuya kutosha...
Ni porojo tu, hakuna ulazima wowote wa kuminya mishipa wakati wa punyeto na hakuna ulazima wa kumaliza haraka kama unavyodai,

badala yake unaweza kutumia muda mrefu zaidi kufanya punyeto kuliko kufanya na mtu, hii ni kwa sababu you stand to be the only who control the process, this is done by slowing down massaging when ejaculation comes

Kuwa na mtu it's kinda hard sababu mwenzako anaweza asijue au asijali kama unaelekea mwisho hivyo akaongeza kasi badala ya kupunguza, ndio early ejaculation hutokea

Haya hapa ndio mambo machache MUHIMU unayotakiwa kuyajua ili kufanya punyeto salama isiyo na madhara yoyote:

1. Fanya bila kuminya misuli

2. Fanya taratibu bila kusugua au kutumia nguvu (slow massaging)

3. Usifanye kwa target ya kumaliza haraka, punguza massaging kila unapoelekea kukojoa

4. Fanya kwa kutumia lotion au lubricant kama KY Kelly (usitumie sabuni au mafuta mazito au ya mgando)
 
Nilifungua haraka nilijua ni somo tu kumbe ni tangazo. Wala sijisumbui kulisoma hilo tangazo. Punyeto nimeanza kupiga miaka 17 iliyopita but nikimkamata mwanamke mpaka anahisi natumia nduma kumjegejua.
 
Sasa kama dada zako wanatuambia kuwa mapenzi pesa tu ufundi peleka (VETA), unategemea sisi tuchukue uwamuzi gani kama sio penyeto.

Sasa ivi ukitongoza tu unambiwa kuwa una ela ya( kunihudumia).sasa kwa mtu ambaye hana ela izo nguvu anamfugia nani au unataka baadae zije kuamia upande wa pili.
umejuwa kunichekesha nguvu ziamie ubazi wa pili
 
Punyeto ni neno lenye maana kubwa na kuna watu wanapiga puchu bila kujua na haya ndio maswali yangu

1. Je, mtu anapopata hisia kitandan akianza kuchezea uume na baadh ya maeneo ya mwili wake huku akijizuia asimwage je amepiga puchu?
 
Punyeto;

Wanaume wengi wanaopiga punyeto wana sifa ya utulivu wa akili, hawana mihemko ya hovyo hovyo. Na hii hali inawasaidia sana kufanya mambo yao katika hali zao binafsi bila kuendeshwa na mihemko. Angalia watu wanaopinga punyeto ni watu wanaotegemea furaha toka kwa wengine si watu wakusimama wao kama wao, unajua kwanini? kwa sababu wana imani mbaya juu ya punyeto. Sikatai kuwa punyeto ina madhara, ila faida zake kijamii ni nyingi kuliko inavyoonekana katika hasara zake;

Faida za Punyeto;
1. Kujiamini
2. Kuwa huru
3. Uwezo wa kufanya maamuzi kwa aijli yako
4. Ufanisi katika uendaji wa shughuli zako (wanafunzi wavulana wa bweni ni mashuhuda)
5. Kupunguza hofu zinazotokana na mihemko ya kimapenzi

Ndiyo, madhara ya punyeto apo ilahaawezi kudumu kama zile adha ambazo mtu atazipata iwapo atashindwa kuhimili mihemko yako. Chukulia habari a kwenda kununua malaya ni mbaya sana, au kubaka vibinti vya watu au kulala na viwanafunzi vidogo visivyijelewa.

Haya ni mambo yanawezeza si tu kukuletea fedheha bali kukusababishia madhila hata ya jela. Lakini madhara ya punyeto anarekebishika vizuri kabisa japo itachukua muda. Hivyo mimi naona ni HERI KUJIDHURU KULIKO KUHURU WENGINE

Viva Punyeto Viva
 
Uliskia wapi?

After some time utakapooa na kushindwa kuipa ndoa yako heshima yake kisa mkono utamlaumu Nani?

Think of the bigger picture kwa Sasa malizia hapo seems ndo unaanza.
 
Back
Top Bottom