Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

mkuu mm ni mwanachama mzuri ila napingana nawe.kawaida yangu huwa napiga goli moja jion alafu naenda groundini kucheza ball na position zang huwa ni beki na 5 winger zote nina uwezo wa kucheza vile vile namba 9 sasa huo utafiti wenu sijui mmefanya kwa watu wangap.uzuri wa nyeto unaweza kugonga demu yeyote dunian bila gharama zaid ya kumvutia hisia tu.chaputa hoyee
 
JINSI PUNYETO INAVYOWAMALIZA VIJANA.

Habari ninasaidia vijana kuondokana na tatizo la nguvu za kiume leo nimeamua kushare na nyinyi “jinsi punyeto inavyomaliza vijana”. Unapopiga punyeto unakuwa unaiminyamishipa ya uume ambayo ndio inafanya uume usimame matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kupitisha damuya kutosha.

Mishipa ya uume iliyolegee kuttokana na upigaji wa punyeto uleta madhara yafuatayo:
1) Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kutanuka. (unapopata wazo la kufanya mapenzi mishipa ya uume ina relax, mishipa ikitanuka husababisha mishipa ya ateri kutanuka na kuruhusu damu kuingia ndani ya mishipa ya uume na hatimaye kuufanya uume usimame na kuwa mgumu.

2) Mishipa ya uume ikishindwa kutanuka husababisha mishipa ya ateri kuziba

3) Mishipa ya ateri ikiziba, damu inashindwa kutiririka kwenye mishipa ya uume n ahata ikitokea damu imeingia ndani ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume ukisimama utasimama ukiwa legelege

4) Mishipa ya uume ikishindwa kutanuka basi haitakuwa na uwezo wa kupush na kuiziba mishipa ya neva ambayo ndio hunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama. Matokeo yake damu kidogo iliyoingia kwenye mishipa ya uume hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani ya sekunde chache na kufanya uume usinyae ndani ya muda mfupi.

5) Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa uume kama wa mtoto.

6) Punyeto pia usababisha kutoa manii kwa haraka. Hujenge ukungu kwenye kiwanda cha uzalishaji manii ambayo hudhoofisha manii na kusababisha joto la haraka pindi tu upatapo hisia ya mapenzi ndio unajikuta unakojoa haraka.
 
Nyeto haina madhara yoyote hayo uliyosema ni madhara ya saikolojia, nyeto hiyo hiyo inaweza kukutibia msururu wa matatizo uliyoelezea hapo!
 
Nyeto haina madhara yoyote hayo uliyosema ni madhara ya saikolojia, nyeto hiyo hiyo inaweza kukutibia msururu wa matatizo uliyoelezea hapo!
Vizuri sana kumbuka pia unapopiga punyeto nia yako umalize fasta na uondoke hii pia itakufanya uminye mishipa kwa nguvu na kupelekea hii mishipa kukosa nguvu (kukonda) na kufanya pia uume kuwa mdogo
 
Vizuri sana kumbuka pia unapopiga punyeto nia yako umalize fasta na uondoke hii pia itakufanya uminye mishipa kwa nguvu na kupelekea hii mishipa kukosa nguvu (kukonda) na kufanya pia uume kuwa mdogo
Eti "mishipa inakonda"

Kwanini miguu isikonde na tunaitumia kila siku??

Madhara ya nyeto ni psychologically

Anyway,biashara njema mkuu
 
Acha kufananisha punyeto na vitu vya kijinga hivi unaijua punyeto wewe punyeto kama punyeto
Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia akshi binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wengi wanaofanya huu mchezo wa kujiridhisha wenyewe (punyeto) huwa wanasukumwa na msisimko uliowapata na wengine hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi na gono.

Punyeto ni uteja kama ulivyo uteja mwingine wa madawa ya kulevya , pombe, hata na bangi pia. Hivyo mtu yeyote anaejichua (kupiga punyeto) hana tofauti na mvuta bangi au mtumiaji wa madawa ya kulevya kwasababu kujichua husababishwa na kemikali mbili zilizopo kwenye ubongo zinazojulikana kama ‘Dopamine’ na ‘endorphin’.

Dopamine ni transimita nyurojia ambayo husaidia kujiskia raha. Endorphins ni homoni inayotolewa ukiwa na stress (mfadhaiko wa akili) na wakati unafanya kazi ngumu Endorphin pia husaidia wakati unaporudi kwenye hali yako ya kawaida ya utulivu baada ya miangaiko yako ya kila siku.

Endorphins na dopamine ni homoni zinazohusika kupunguza na kushusha kiwango cha strees kwenye akili yako. Kwahyo unapopiga punyeto mwili hotoa homoni hii ya dopamine kemikali inaypokufanya ujisikie raha za tendo hilo.
Acha tuishie hapo.

Ndio mana hata ninavyokupa madhara hautaki kuelewa kwa sababu hiyo juu
Imeandikwa na @rijalikamili kwa elimu zaidi ifatilie hii page @rijalikamili instagram
 
Eti "mishipa inakonda"

Kwanini miguu isikonde na tunaitumia kila siku??

Madhara ya nyeto ni psychologically

Anyway,biashara njema mkuu
Nashukuru pia kwa kuniongezea jambo lingine ambalo nilitakiwa kuliorodhesha
 
Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia akshi binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wengi wanaofanya huu mchezo wa kujiridhisha wenyewe (punyeto) huwa wanasukumwa na msisimko uliowapata na wengine hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi na gono..
basi kaka

Nina wasiwasi wewe ndiye dependent
 
kaweka huku kwa sababu hii n biashara kama biashara nyngne
na ndo mana kaiponda na kuikandia punyeto ili apate wateja
Ni porojo tu, hakuna ulazima wowote wa kuminya mishipa wakati wa punyeto na hakuna ulazima wa kumaliza haraka kama unavyodai,

badala yake unaweza kutumia muda mrefu zaidi kufanya punyeto kuliko kufanya na mtu, hii ni kwa sababu you stand to be the only who control the process, this is done by slowing down massaging when ejaculation comes

Kuwa na mtu it's kinda hard sababu mwenzako anaweza asijue au asijali kama unaelekea mwisho hivyo akaongeza kasi badala ya kupunguza, ndio early ejaculation hutokea

Haya hapa ndio mambo machache MUHIMU unayotakiwa kuyajua ili kufanya punyeto salama isiyo na madhara yoyote:

1. Fanya bila kuminya misuli

2. Fanya taratibu bila kusugua au kutumia nguvu (slow massaging)

3. Usifanye kwa target ya kumaliza haraka, punguza massaging kila unapoelekea kukojoa

4. Fanya kwa kutumia lotion au lubricant kama KY Kelly (usitumie sabuni au mafuta mazito au ya mgando)
 
Back
Top Bottom