Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

kipindi hiki sio cha kuacha hii kitu...mwaka jana nilikuwa na kula sana madem..nimepiga gharama nilizotumia maana kila dem lazima nilimpa pesa wengine mpk leo wananiomba...wengine walkuwa watamu sema wanakupa mpk mahitaji ya watt wao...kiukweli, ukiwa unajipa raha mwenyewe ni rahisi zaid kupiga hatua...ukiacha hii kitu hakikisha unaoa tofauti na hapo utajuta
True

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masturbation is a common activity. It’s a natural and safe way to explore your body, feel pleasure, and release built-up sexual tension. It occurs among people of all backgrounds, genders, and races.

Despite the myths, there are actually no physically harmful side effects of masturbation.

However, excessive masturbation can harm your relationships and everyday life. Other than that, masturbation is a fun, normal, and healthy act.

Keep reading to learn more about the side effects and potential health benefits of masturbation.

source:Masturbation Side Effects and Benefits
 
Wadau tupeane ufafanuzi hapa hasa kwa kutumia uzoefu yaani tukiachana na wataalam wanavyosema sijui unalegeza misuli ya MNARA, pia sijui huwezi kurudia kula DODO kwa mara ya pili ( seriously DODO limeiva toka mtini sio la kuvundikwa lenye utamu wake mtu ushindwe kurudia kula kwa mara ya pili? Kisa unajichukulia sheria mkononi 😂 hapa naona kama utani ).

Mbona kwangu tofauti na hii kazi sijaianza leo yaani mimi ni senior.
240_F_330617160_0QE2Kw6dNuxWhcsydjHxxwgak0y2osLf.jpg
 
Naona unatafuta tukuhalalishie humu. Mwana kulitafuta mwana kulipata....kija siku utakuja kutulilia humu!Makala zipo nyingi sana zimeelezea hilo jambo,achana na hiyo tabia
 
Naona unatafuta tukuhalalishie humu. Mwana kulitafuta mwana kulipata....kija siku utakuja kutulilia humu!Makala zipo nyingi sana zimeelezea hilo jambo,achana na hiyo tabia
Ni Kweli mkuu makala zipo nyingi sana ila zipo pande zote zipo zinazoeleza madhara na zipo zinazoeleza faida ila nlihitaji kwa uzoefu wa watu najua wengi wanajichukulia sheria mkononi ila kwa siri sana
 
Kama kweli una miaka 40 basi jitazame upya

Bandiko lako hili linaonyesha kuwa wewe ni teenager
 
Achana na huo mchezo mchafu, utajutiaa mzee baba. Ila ina mtu na mtu hiyo michezo wengine inawapa stim wengine inaua kabisaa..
 
Nimefanya uchunguzi na kugundua watu wanaojichua au kupiga punyeto huwa hawana nguvu kabisa za miguu,yaani hata tembea yao huwa ya kigoigoi.

Kiasi kwamba ukimpa apige mpira wa penalty huwa haufiki golini, anashindwa hata na mtoto wa miaka sita ambae hufikisha shuti lake kwa golikipa ikiwa kutakuwa na penalty.

Wajuzi wa mambo naomba mnijuze kwanini watu hawa ni legelege miguuni,mkigusana kidogo tu wakati wa kupishana anapepesuka,no balance at all.

Thanks
 
punyeto hupunguza nguvu za kiume ndo maana ulipowapa mashuti yao hayakua na nguvu, sie wakubwa tushakuelewa dada siku nyingine kabla hujawapa kupiga mashuti waulize kwanza ka wanapga nyeto wasijekupaka shombo bure kumbe we hutaki wa mashuti lege lege
 
Kwa mtu yeyote anayefanya tendo la ndoa au njia yoyote ile yakutoa magoli, awe ke/me kwa kutoa magoli mengi huku lishe ikiwa duni; lazima ulegevu wa viungo vya mwili uwepo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom