Fahamu kuhusu punyeto: Faida, hasara na njia sahihi za kuacha tabia hii

Okoth p'Bitek

JF-Expert Member
Jan 11, 2019
596
1,000
Narudia kusema kidumu chama tawala
Chaputa
Nyeto haina madhara
Labda kwa wenye low level of testosterone
 

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,262
2,000
Punyeto ni neno lenye maana kubwa na kuna watu wanapiga puchu bila kujua na haya ndio maswali yangu

1. Je, mtu anapopata hisia kitandan akianza kuchezea uume na baadh ya maeneo ya mwili wake huku akijizuia asimwage je amepiga puchu?
 

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,773
2,000
Punyeto;

Wanaume wengi wanaopiga punyeto wana sifa ya utulivu wa akili, hawana mihemko ya hovyo hovyo. Na hii hali inawasaidia sana kufanya mambo yao katika hali zao binafsi bila kuendeshwa na mihemko. Angalia watu wanaopinga punyeto ni watu wanaotegemea furaha toka kwa wengine si watu wakusimama wao kama wao, unajua kwanini? kwa sababu wana imani mbaya juu ya punyeto. Sikatai kuwa punyeto ina madhara, ila faida zake kijamii ni nyingi kuliko inavyoonekana katika hasara zake;
Faida za Punyeto;
1. Kujiamini
2. Kuwa huru
3. Uwezo wa kufanya maamuzi kwa aijli yako
4. Ufanisi katika uendaji wa shughuli zako (wanafunzi wavulana wa bweni ni mashuhuda)
5. Kupunguza hofu zinazotokana na mihemko ya kimapenzi

Ndiyo, madhara ya punyeto apo ilahaawezi kudumu kama zile adha ambazo mtu atazipata iwapo atashindwa kuhimili mihemko yako. Chukulia habari a kwenda kununua malaya ni mbaya sana, au kubaka vibinti vya watu au kulala na viwanafunzi vidogo visivyijelewa, haya ni mambo yanawezeza si tu kukuletea fedheha bali kukusababishia madhila hata ya jela. Lakini madhara ya punyeto anarekebishika vizuri kabisa japo itachukua muda. Hivyo mimi naona ni HERI KUJIDHURU KULIKO KUHURU WENGINE

Viva Punyeto Viva
 

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
15,092
2,000
Uliskia wapi?

After some time utakapooa na kushindwa kuipa ndoa yako heshima yake kisa mkono utamlaumu Nani?

Think of the bigger picture kwa Sasa malizia hapo seems ndo unaanza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom