Fahamu kuhusu punyeto: Faida, hasara na njia sahihi za kuacha tabia hii

kingkimbe

Member
Jul 11, 2017
87
125
Nyeto haina madhara yoyote hayo uliyosema ni madhara ya saikolojia, nyeto hiyo hiyo inaweza kukutibia msururu wa matatizo uliyoelezea hapo!
Vizuri sana kumbuka pia unapopiga punyeto nia yako umalize fasta na uondoke hii pia itakufanya uminye mishipa kwa nguvu na kupelekea hii mishipa kukosa nguvu (kukonda) na kufanya pia uume kuwa mdogo
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
10,693
2,000
Vizuri sana kumbuka pia unapopiga punyeto nia yako umalize fasta na uondoke hii pia itakufanya uminye mishipa kwa nguvu na kupelekea hii mishipa kukosa nguvu (kukonda) na kufanya pia uume kuwa mdogo
Eti "mishipa inakonda"

Kwanini miguu isikonde na tunaitumia kila siku??

Madhara ya nyeto ni psychologically

Anyway,biashara njema mkuu
 
kingkimbe

Member
Jul 11, 2017
87
125
Acha kufananisha punyeto na vitu vya kijinga hivi unaijua punyeto wewe punyeto kama punyeto
Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia akshi binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wengi wanaofanya huu mchezo wa kujiridhisha wenyewe (punyeto) huwa wanasukumwa na msisimko uliowapata na wengine hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi na gono.

Punyeto ni uteja kama ulivyo uteja mwingine wa madawa ya kulevya , pombe, hata na bangi pia. Hivyo mtu yeyote anaejichua (kupiga punyeto) hana tofauti na mvuta bangi au mtumiaji wa madawa ya kulevya kwasababu kujichua husababishwa na kemikali mbili zilizopo kwenye ubongo zinazojulikana kama ‘Dopamine’ na ‘endorphin’.

Dopamine ni transimita nyurojia ambayo husaidia kujiskia raha. Endorphins ni homoni inayotolewa ukiwa na stress (mfadhaiko wa akili) na wakati unafanya kazi ngumu Endorphin pia husaidia wakati unaporudi kwenye hali yako ya kawaida ya utulivu baada ya miangaiko yako ya kila siku.

Endorphins na dopamine ni homoni zinazohusika kupunguza na kushusha kiwango cha strees kwenye akili yako. Kwahyo unapopiga punyeto mwili hotoa homoni hii ya dopamine kemikali inaypokufanya ujisikie raha za tendo hilo.
Acha tuishie hapo.

Ndio mana hata ninavyokupa madhara hautaki kuelewa kwa sababu hiyo juu
Imeandikwa na @rijalikamili kwa elimu zaidi ifatilie hii page @rijalikamili instagram
 
kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,333
2,000
Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia akshi binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wengi wanaofanya huu mchezo wa kujiridhisha wenyewe (punyeto) huwa wanasukumwa na msisimko uliowapata na wengine hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi na gono..
basi kaka

Nina wasiwasi wewe ndiye dependent
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
813
500
kaweka huku kwa sababu hii n biashara kama biashara nyngne
na ndo mana kaiponda na kuikandia punyeto ili apate wateja
Ni porojo tu, hakuna ulazima wowote wa kuminya mishipa wakati wa punyeto na hakuna ulazima wa kumaliza haraka kama unavyodai,

badala yake unaweza kutumia muda mrefu zaidi kufanya punyeto kuliko kufanya na mtu, hii ni kwa sababu you stand to be the only who control the process, this is done by slowing down massaging when ejaculation comes

Kuwa na mtu it's kinda hard sababu mwenzako anaweza asijue au asijali kama unaelekea mwisho hivyo akaongeza kasi badala ya kupunguza, ndio early ejaculation hutokea

Haya hapa ndio mambo machache MUHIMU unayotakiwa kuyajua ili kufanya punyeto salama isiyo na madhara yoyote:

1. Fanya bila kuminya misuli

2. Fanya taratibu bila kusugua au kutumia nguvu (slow massaging)

3. Usifanye kwa target ya kumaliza haraka, punguza massaging kila unapoelekea kukojoa

4. Fanya kwa kutumia lotion au lubricant kama KY Kelly (usitumie sabuni au mafuta mazito au ya mgando)
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
813
500
JINSI PUNYETO INAVYOWAMALIZA VIJANA.

Habari ninasaidia vijana kuondokana na tatizo la nguvu za kiume leo nimeamua kushare na nyinyi “jinsi punyeto inavyomaliza vijana”. Unapopiga punyeto unakuwa unaiminyamishipa ya uume ambayo ndio inafanya uume usimame matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kupitisha damuya kutosha...
Ni porojo tu, hakuna ulazima wowote wa kuminya mishipa wakati wa punyeto na hakuna ulazima wa kumaliza haraka kama unavyodai,

badala yake unaweza kutumia muda mrefu zaidi kufanya punyeto kuliko kufanya na mtu, hii ni kwa sababu you stand to be the only who control the process, this is done by slowing down massaging when ejaculation comes

Kuwa na mtu it's kinda hard sababu mwenzako anaweza asijue au asijali kama unaelekea mwisho hivyo akaongeza kasi badala ya kupunguza, ndio early ejaculation hutokea

Haya hapa ndio mambo machache MUHIMU unayotakiwa kuyajua ili kufanya punyeto salama isiyo na madhara yoyote:

1. Fanya bila kuminya misuli

2. Fanya taratibu bila kusugua au kutumia nguvu (slow massaging)

3. Usifanye kwa target ya kumaliza haraka, punguza massaging kila unapoelekea kukojoa

4. Fanya kwa kutumia lotion au lubricant kama KY Kelly (usitumie sabuni au mafuta mazito au ya mgando)
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
2,901
2,000
Nilifungua haraka nilijua ni somo tu kumbe ni tangazo. Wala sijisumbui kulisoma hilo tangazo. Punyeto nimeanza kupiga miaka 17 iliyopita but nikimkamata mwanamke mpaka anahisi natumia nduma kumjegejua.
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,542
2,000
Sasa kama dada zako wanatuambia kuwa mapenzi pesa tu ufundi peleka (VETA), unategemea sisi tuchukue uwamuzi gani kama sio penyeto.

Sasa ivi ukitongoza tu unambiwa kuwa una ela ya( kunihudumia).sasa kwa mtu ambaye hana ela izo nguvu anamfugia nani au unataka baadae zije kuamia upande wa pili.
 
umejuwa kunichekesha nguvu ziamie ubazi wa pili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom