Agribusiness18
Member
- May 17, 2020
- 34
- 95
Wadau tupeane ufafanuzi hapa hasa kwa kutumia uzoefu yaani tukiachana na wataalam wanavyosema sijui unalegeza misuli ya MNARA, pia sijui huwezi kurudia kula DODO kwa mara ya pili ( seriously DODO limeiva toka mtini sio la kuvundikwa lenye utamu wake mtu ushindwe kurudia kula kwa mara ya pili? Kisa unajichukulia sheria mkononi
hapa naona kama utani ).
Mbona kwangu tofauti na hii kazi sijaianza leo yaani mimi ni senior.

Mbona kwangu tofauti na hii kazi sijaianza leo yaani mimi ni senior.
