Fahamu kuhusu multiplexer (electronics design)

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
970
1,461
Multiplexer ni kifaa ambacho kazi yake ni kuchagua ingizo moja kati ya maingizo mengi katika mfumo wake.

Multiplexer hua ni kifaa chenye maingizo mengi(inputs),ambapo input hizo zinakua kila moja imebeba taarifa tofauti na nyingine.

1125806

Licha ya kua na maingizo mengi multiplexer hua na toleo moja tu (output).

Hivyo kazi ya multiplexer kwa kifupi tunaweza sema ni kifaa kinacho toa taarifa inayohitajika kwa wakati husika kutoka katika taarifa nyingi kinazo zipokea.

Multiplexer ina uwezo wa kuchakata taarifa za aina ya digital na aina ya analogia.

Multiplexer ambazo zinachakata taarifa za analogia mara nyingi hua zimeundwa na vifaa kama vile transistors au relays.

Muliplexer ambazo zinachakata taarifa ambazo ni za kidigitali huwa zimeundwa na logic devices kama vile logic gates.

MATUMIZI YA MULTIPLEXER.

Multiplexer hutumika mahali ambapo kuna taarifa nyingi na taarifa hizo zinatakiwa kutolewa kupitia njia moja kila moja kwa wakati wake iwe kwa kasi kubwa au ndogo.

Kinyume cha multiplexer ni kifaa kinacho itwa De-multiplexer ambacho chenyewe kinapokea taarifa moja na kutoa taarifa nyingi kutoka katika hiyo taarifa moja.

Mfano wa Multiplexer ni pale unapo chagua chaneli flani ionekane katika TV yako na kuzikataa nyingine.

kinachowezesha wewe kuchagu chanel moja kati ya nyingi ulizo nazo na ikaonesha hiyohiyo bila kuingiliwa ni mfumo huu wa multiplexer.

Bila shaka mmejifunza kitu kwa leo.

Until next time

transiator.

Darasa la electronics 06290-68815
 
Vema sana MKuu ila Mimi ningekua wewe mpaka saiv ningeshabuni kitu cha ajabu sana ambacho wengine hawawezi MKuu hongera sana
Gonga link hii huku bure tu mkuu

Multiplexer ni kifaa ambacho kazi yake ni kuchagua ingizo moja kati ya maingizo mengi katika mfumo wake.

Multiplexer hua ni kifaa chenye maingizo mengi(inputs),ambapo input hizo zinakua kila moja imebeba taarifa tofauti na nyingine.

View attachment 1125806

Back
Top Bottom