Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,625
Hiyo point si inaifanya gari kuwa nzito ama?!Kwa uelewa wangu wa kutumia gari za auto kwa muda marefu ni kuwa overdrive ina tumuka kuaccerelate gari mfano wakati wa kuovertake au umeshuka mlima na 130 unataka kupanda kilima kingine labda na 100 hivi ndo inaiweka na kweli spidi haitafika hata chini ya mia ila ukiwa tambarare na viinuko vidogo ni vema ukazima overdrive ili gear zote 5 ziwe engaged, so overdrive ni kama turbo kwenye magari yasiyo na turbo yaani huipa nguvu gari ila si ya kutumia wakati wote, kwa wali ambao magari yao hayana overdrivr ni vema ku overtake kwa kuweka namba 2 ili usije kutana na gari mbele inakuwa fsta kuliko kawaida ila rudisha D haraka ukishalipita gari la mbele.