Fahamu kuhusu Kilimo cha Strawberries

Kwa ninu unasema Miko ya Iringa ba Morogoro? Je unajua Morogoro wanalima kule Milimani?

Usiseme miko hiyo ilihali hata Singida Au Dodoma unalima.

Kizingiti kikubwa ni Joto na hii na kwa.mikoa ya Pwan kama Dar, Tanga, Pwani, Mtwara na Lindi. Na hat Morogoro huku ukanda wa chini.
 
Zipo aina ya Strawberry za maeneo ya Joto ila huku hazipo. Hizo strawberry utazipata Nchi kama Indonesia au huko Philipine ambako kuna Joto kari.

Mikoa inayo salia inaweza zalisha ingawa hata maeneo ya joto pia mtu akikomaa analima tu.
 
Mikoa inayositawisha vizuri strawberry ni Iringa na Morogoro,lakini unaweza kufanya utafit hata hapo ulipo,maana inastawi vizuri kwenye maeneo ya mwinuko,1500m
Soko kubwa sana lipo Kenya,lakini hata hapa Tanzania bado strawberry inalipa,ni miezi 2 tu tangu uanze kuandaa utakuwa umeanza kuvuna,siwadanganyi,unaweza kujifunza zaidi kuihusu
Acha kuwaambia vitu vya Kufikirika mkuu. Soko liko Kenya? Hahahaa una uhakika? Unaweza kuja na Data za hilo Soko ambalo Unaweza uza Kenya?
Halafu na kenya wao wauze wapi?
 
Bei ya strawberry inategemea na soko,ila bei ya kufikia kwa soko la dar na arusha,kilo ni elf 30-50
 
Haya mambo ya kilimo cha paipai kinalipa, leo utackia mapera, kesho ufugaji wa kunguru unalipa lazma uingie kwa akili ukiingia kwa pupa tu unakula za uso
True, hahahahaha, haya mambo haya yanahitaji uchunguzi wahali ya juu kabla MTU hujachukua hatua ya imani,
 
Acha kuwaambia vitu vya Kufikirika mkuu. Soko liko Kenya? Hahahaa una uhakika? Unaweza kuja na Data za hilo Soko ambalo Unaweza uza Kenya?
Halafu na kenya wao wauze wapi?
Wazazi wangu wanalima Arusha ila kilimo cha greenhouse na wanauza Tz kwani kunasoko zuri tuu la zao husika,Mwanzo walikuwa wanapeleka Kenya ila sasa wanauzia hapahap Tz
 
Mbona soko la maua Arusha lipo kenya? papai pia,kwenye ukweli lazima tukubali
Si kweli. Kenya ni njia tu ya kusafirishia na nimeiweka sababu Nairobi na Arusha ni masaa manne tu unakuwa airport. Sababu kubwa ni Kenya wana international flight nyingi.
 
Arusha bei ni 3,500/= kwa 250g. Lakini wanunuzi wakubwa zaidi hununua kwa 10,000/= tu kwa kilo. Hiyo ni Arusha.
Siyo mbaya,maana yake 4kg unapata kama elf 40, na unauhakika wa kuvuna mara 3 kwa wiki sawa na 120000/= kwa wiki!!
 
Back
Top Bottom