Ishomile Wawili
Member
- Sep 17, 2019
- 85
- 227
Knowledge yako na ya watu wa kada yako tangu Uhuru imesaidia Nini Taifa???Hiyo Chloroquine naweza kuitoa kwenye makaa ya mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Knowledge yako na ya watu wa kada yako tangu Uhuru imesaidia Nini Taifa???Hiyo Chloroquine naweza kuitoa kwenye makaa ya mawe
Subiri nichukue hii nchi utanielewa tuKnowledge yako na ya watu wa kada yako tangu Uhuru imesaidia Nini Taifa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Congratulation for all mchemia wa GOT, tutengenezee basi ata chanjo ya Corona achana na mambo ya madesa ya wazungu walio tafiti wao ss tunakaa kumeza.Hayo ndio mambo yangu mkuu, hata ukiniamsha toka usingizi tunalianzisha kushuka
Nchi inaongozwa na mwanasayansi Tena Chemist Kama wewe; Raisi wa Zanzibar Ni Mwanasayansi vilevile...Makamu wa Raisi awamu ya Kikwete Dr.Bilal Ni Mwanasayansi mkubwa Duniani....na licha ya hao wote tupo Hapa tulipo...Subiri nichukue hii nchi utanielewa tu
Kwa haraka sijaona sababu ya kucopy mtandaoni ...kama upo smart mkuu in 5lines ungenitajia mechanism ya drug design na drug targets simply tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu, mbona unatudanganya? Jaribu kufanya simple research kabla ya kushusha uzi mrefu uliojaa uongo.
Naona mnaandika maherufi meengi..Hapo nilikuwa namprovia kuwa haya mambo sio siasa, hiyo kazi ya ugunguzi wa dawa ni ya Kemia, kwa mimi ninavyo elewa kwenye uvumbuzi wa madawa kuna hawa watu Biochemist, medicinal chemist, organic chemist, pharmacist, na watu wa molecular biology. Kwasababu hayo madawa ni ma organic compound biotechnology hizo reaction hawezi kuzielewa bila hao wakemia hapo
Wanachokifanya Ni kujimwambafy kwamba wako smart, wamesoma vitu complex, Kada Hii Ni ya muhimu kuliko Hii, Sisi Ni "Watabe" kuliko wale ,Tuliosoma Chuo hiki Yuko vizuri kuliko wale , and the like....Naona mnaandika maherufi meengi..
Je kuna mtu anafanya tafuti ya vaccine au dawa ya korona hapa tz?
Watu wanakufa je hiyo kemia yako inatusaidiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuchukue tahadhariNaona mnaandika maherufi meengi..
Je kuna mtu anafanya tafuti ya vaccine au dawa ya korona hapa tz?
Watu wanakufa je hiyo kemia yako inatusaidiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app