Fahamu kuhusu " Deep State " ilivyo na inavyofanya kazi

Muendelezo uko wapi Mkuu??













Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
 
Ndio maana kuna Mshkaji mmoja kila siku analalamika "Mniombee"

Kwahyo nae anaiogopa hyo Deep State? Ina maana yeye licha ya kuwa namba 1 hawajui hao members 50 wanaounda Deep State ili awashughulikie?

Kwa lugha nyingine mwandishi unatuambia kuwa Deep State pia ni watu wasiojulikana?

Naomba majibu...

Kuna tetesi kutoka katka korido za makumbusho,

member mkuu wa deep state alitangulizwa mahala pema huko juu usiku fulani hivi wa mwezi julai...inasemekana tu... chanzo ni kuedit katiba ili jamaa mmoja awe wa mihula yote sasa yeye kama role model akawa anagoma...inasemkana tu me mwenyewe sina uhakika
 
Unataka kunambia "Deep state" walitaka yule mama awe raisi wa USA?..C'mon man you can't be serious...
Deep state anayoipigia kelele Trump kila siku ni ile ya kina Obama,Clinton,FBI Officials,na Director of National Inteligence anaitwa Clapper.Nafikiri Deep state ya waanzilishi wa Marekani ndo waliomuweka Trump ikulu badala ya Clinton,Ili kupambana na China maana USA ilikuwa shamba la bibi.

Enhe nipe matokeo ya Trump
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom